nikiwe
JF-Expert Member
- Feb 4, 2013
- 775
- 345
ahahahah hapana bana
hehehe!!wewe ulikuwa unataka kusema Wachaga ila umejikausha tu
hehehe!!wewe ulikuwa unataka kusema Wachaga ila umejikausha tu
Leo nimekutana na jirani yangu wa zamani na tulikuwa marafiki pia yeye na mume wake!
Baada ya kujuliana hali alinijulisha kuwa waliachana na mume wake miezi 9 iliyopita!
Inasikitisha ...ila kilichoniuma ni kauli aliyotumia mume wake kuwa ameamua kmwacha kwa kuwa anataka mwanamke mzuri wa hadhi yake!
Ili kuthibitisha hilo akamwambia mke wake kuwa ana miguu mibaya na ni bahati mbaya hakuiona wakati ule amempenda!
Jamani udhalilishaji huu!
tehe tehe atakuwa alioa mpare huyo kwani si wajua wanapanda milima sana so miguu kiasi flani inakuwa na vigimbi na kupoteza mvuto wa mguu wa mtoto wa kike,kitu totozi za kimakonde bana



Siyo Wapare tu, usiwasahau Waluguru na vigimbi vya, na vile vile Wachaga na Waarusha na miguu kama wanatembelea mikono. Miguu ya uhakika iko kwa Wasukuma, Wanyakyusa, Wanyamwezi, Wakurya, Wahaya, Wafipa, Waha na makabila mengine yalee mnayoyajua!!! Check hapa chini mguu wangu mimi mwenyewe mtoto kutoka Katavi, mambo iko huku, utachoka!!!
View attachment 92604View attachment 92605View attachment 92606
swali zuri sana hili .sasa jf kama FBWhy do you bring it here?
Inaonekana watu sikuhizi tumeacha kuoa wanawake kama wenza wetu, watu wa kupendana, kusaidiana, kushirikiana na na kuhudmiana na badala yake tumeanza kuona wanawake kama pambo tu ....
Eti imefikia kipindi tunaanza kuoa, siyo mwanamke tena, bali miguu yake, au sura, au umbile lake au makalio au rangi ya ngozi yake! Huko tunakoelekea, sijui, ila Mungu atusaidie!!! Mr Rocky njoo pande za huku uone hizi hoja za kutoa talaka baada ya kugundua kuwa miguu ya mkewe haiqualify! Sijui Nivea na Kaunga kama mmepita mitaa hii. Mwl gfsonwin nawe sijui uko wapi?
nyumba kubwa hivi miguu yako imekaaje? Kuna hatari ya kupigwa talaka!
Mkuu HorsePower hao walioana kwa majaribio na mtihani ulipokaribia wakajikuta wote wamedisco kwa kuwa hawasoma alama za nyakatiInaonekana watu sikuhizi tumeacha kuoa wanawake kama wenza wetu, watu wa kupendana, kusaidiana, kushirikiana na na kuhudmiana na badala yake tumeanza kuona wanawake kama pambo tu ....
Eti imefikia kipindi tunaanza kuoa, siyo mwanamke tena, bali miguu yake, au sura, au umbile lake au makalio au rangi ya ngozi yake! Huko tunakoelekea, sijui, ila Mungu atusaidie!!! Mr Rocky njoo pande za huku uone hizi hoja za kutoa talaka baada ya kugundua kuwa miguu ya mkewe haiqualify! Sijui Nivea na Kaunga kama mmepita mitaa hii. Mwl gfsonwin nawe sijui uko wapi?
nyumba kubwa hivi miguu yako imekaaje? Kuna hatari ya kupigwa talaka!
Leo nimekutana na jirani yangu wa zamani na tulikuwa marafiki pia yeye na mume wake!
Baada ya kujuliana hali alinijulisha kuwa waliachana na mume wake miezi 9 iliyopita!
Inasikitisha ...ila kilichoniuma ni kauli aliyotumia mume wake kuwa ameamua kmwacha kwa kuwa anataka mwanamke mzuri wa hadhi yake!
Ili kuthibitisha hilo akamwambia mke wake kuwa ana miguu mibaya na ni bahati mbaya hakuiona wakati ule amempenda!
Jamani udhalilishaji huu!
Kumbe wakisema 'miguu' mizuri ndio kama hii?...naona kama inaelekea kwenye matende hivi...au macho yangu tu!?:brushteeth:
ili watu wajifunze....hata wewe yawezekana ni muhanga mmoja wapo ila hujajua tu...why do you bring it here?
Kumbe wakisema 'miguu' mizuri ndio kama hii?...naona kama inaelekea kwenye matende hivi...au macho yangu tu!?:brushteeth:
Nimekusoma!Siyo matende jamani, hiyo ndiyo miguu inaitwa ya chupa aka shina la mgomba mchanga!!! Miggu ya aina hiyo ndiyo inalipa sana kwa mwanamke, anaweza kuvaa ki-min, sketi ndefu, gauni au suruali na akaendelea kuwa na muonekano wa kuvutia. Mwanamke ni miguu na sura bwana, mengine ni majaliwa!!!