Sikuiangalia vizuri miguu yako!

Sikuiangalia vizuri miguu yako!

MAKULUGA

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2011
Posts
8,097
Reaction score
10,951
Leo nimekutana na jirani yangu wa zamani na tulikuwa marafiki pia yeye na mume wake!
Baada ya kujuliana hali alinijulisha kuwa waliachana na mume wake miezi 9 iliyopita!
Inasikitisha ...ila kilichoniuma ni kauli aliyotumia mume wake kuwa ameamua kmwacha kwa kuwa anataka mwanamke mzuri wa hadhi yake!
Ili kuthibitisha hilo akamwambia mke wake kuwa ana miguu mibaya na ni bahati mbaya hakuiona wakati ule amempenda!
Jamani udhalilishaji huu!
 
Why do you bring it here?
 
aiseeee kweli kipenda roho. ina maana siku zote wameanza uchumba hadi kufikia kuoana hakuiona hiyo miguu? hapa kuna sababu zaidi ya hiyo.
 
sa wenye miguu mibaya
spaceout.gif
spaceout.gif
spaceout.gif
hawana haki ya kuolewa, hahahahaha huyo mwanaume suruali tu

Kila shetani na mbuyu wake.kila mwanaume anacho kinachomvutia kwa mwanamke,na sio wote wanaoangalia miguu peke yake.
Unajua, siku hizi vijana badala ya kuoa kwa ajili ya kufurahisha nafsi zao, kitu kingine wanachoangalia ni "watu watasemaje wakimuona mwanamke huyu ninaye muoa".na hii ndiyo inayogharimu vijana wengi.wanaoa,sio kwa ajili ya nafsi yao, ila kuonyesha watu wengine.
Matokeo yake, anaacha mke ndani, anaenda kuburudika na kile nafsi inapenda.Mke anabaki kuwa pambo la nyumba.
 
nawapa pole.
 
huyo mwanamama wa kule mlimani au!?
 
tehe tehe atakuwa alioa mpare huyo kwani si wajua wanapanda milima sana so miguu kiasi flani inakuwa na vigimbi na kupoteza mvuto wa mguu wa mtoto wa kike,kitu totozi za kimakonde bana
 
Mh! Huyo hana lolote ana la ziada kwani wakati amemuoa hakujua si hadhi yake?
 
Leo nimekutana na jirani yangu wa zamani na tulikuwa marafiki pia yeye na mume wake!
Baada ya kujuliana hali alinijulisha kuwa waliachana na mume wake miezi 9 iliyopita!
Inasikitisha ...ila kilichoniuma ni kauli aliyotumia mume wake kuwa ameamua kmwacha kwa kuwa anataka mwanamke mzuri wa hadhi yake!
Ili kuthibitisha hilo akamwambia mke wake kuwa ana miguu mibaya na ni bahati mbaya hakuiona wakati ule amempenda!
Jamani udhalilishaji huu!

Hayatuhusu
 
huyo mwanaume ana lake siku zote hizo alikuwa wapi asione hiyo miguu mibaya?
isitoshe utamu wa mwanamke hauko kwenye miguu....aseme tu amepata mwingine anayemwona ana miguu mizuri, utafikiri hiyo miguu anaila.
 
tehe tehe atakuwa alioa mpare huyo kwani si wajua wanapanda milima sana so miguu kiasi flani inakuwa na vigimbi na kupoteza mvuto wa mguu wa mtoto wa kike,kitu totozi za kimakonde bana
hehehe!!wewe ulikuwa unataka kusema Wachaga ila umejikausha tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom