Siku zote Java Script itaendelea kuwa lugha ya kipekee sana

mathsjery

JF-Expert Member
Sep 26, 2015
2,208
1,755
Matumizi ya javascript yanaendelea kukua kila siku kwa kuwa ndio lugha pekee inayoweza simama pekee yake pande zote mbili yaani frontend na backend aiseh nafikiri uwepo wa node.

JS ni sababu moja kubwa ya javascript kuwa na sifa hii na kuinuka kidedea mara kwa mara. Mimi sina mengi nachangamsha genge la developers.

Ebu jionee mwenyewe

images - 2021-12-19T032740.786.jpeg
ukisema java nakumbuka hiyo
 
Kwa serious AI driven projects mfano ML , NLP, DL etc. bado huwezi kuikwepa Python.
 
Binafsi am not a big fan wa java script language ..But na confense its importanace in web-based software projects.

Huwa nafanya kuchomekea tu/embed vi script vya java.

Binafsi am a big mpenz wa ila JaVa kavu na kwenye web ni Php.

Sijawah waza kama nitaweza sikumoja kufanya project nzima mwnzo mwishokwa kutumia js script tu..
 
A bit more..jazia nyama basi
Kama unataka kufanya project ambazo zinahitaji utumie Machine Learning, Natural Language Processing, Deep Learning etc. Python inakuwa bora zaidi kwa sababu ya upatikanaji wa libraries ambazo zinaweza kufanya data analysis and zinakuwa na implementation ya algorithms nyingi utakazohitaji.

Datascience community kubwa kama wakigundua algorithm bora/mpya wataanza kufanya implementation kwenye Python. Kuna libraries kwenye language nyingine kama Javascript, PHP, Java etc.

Lakini mara nyingi utakuta zina limited implementations au kuna vitu utashindwa kabisa kufanya kwa kukosa libraries, unaweza kuamua kuandika implementation yako mwenyewe lakini utachukua muda sana na probably haitakuwa efficent, kitu ambacho kinaongeza muda wa kumaliza project yako.
 
Kama unataka kufanya project ambazo zinahitaji utumie Machine Learning, Natural Language Processing, Deep Learning etc. Python inakuwa bora zaidi kwa sababu ya upatikanaji wa libraries ambazo zinaweza kufanya data analysis and zinakuwa na implementation ya algorithms nyingi utakazohitaji
Umesomeka vyema kabisa.
Swali la kizushi kidogo mkuu...

Tumekua watumiaji /utilizers wazur sana wa hiz programming platforms/languages and their respective IDEs ili ku develop softwares... but i wondér how can someone develop these languages...yan uka develop your language, compilers, libraries INDEPENDENTLY of whatever existing now???
Na hii ndio maana binafsi i preffer zaid kuwa conaidered as a software programmer than Developer...
 
Binafsi am not a big fan wa java script language ..But na confense its importanace in web-based software projects.

Huwa nafanya kuchomekea tu/embed vi script vya java.

Binafsi am a big mpenz wa ila JaVa kavu na kwenye web ni Php.

Sijawah waza kama nitaweza sikumoja kufanya project nzima mwnzo mwishokwa kutumia js script tu..
Huu ndo uwe mwanzo wa kuwaza hilo.
 
Ni lugha ya kipuzi na ipo tu kwa sababu browsers zinaibeba maana zilipoipokea tangu mwanzo hapajawa na namna ya kuitoka. Jitihada zipo zinafanywa za kuiacha lakini hazijafua dafu, ikiwemo WebAssembly.
Binafsi naitumia sana, tena napiga hela freshi lakini huzingua kishenzi.
 
Kama unataka kufanya project ambazo zinahitaji utumie Machine Learning, Natural Language Processing, Deep Learning etc. Python inakuwa bora zaidi kwa sababu ya upatikanaji wa libraries ambazo zinaweza kufanya data analysis and zinakuwa na implementation ya algorithms nyingi utakazohitaji.

Datascience community kubwa kama wakigundua algorithm bora/mpya wataanza kufanya implementation kwenye Python. Kuna libraries kwenye language nyingine kama Javascript, PHP, Java etc.

Lakini mara nyingi utakuta zina limited implementations au kuna vitu utashindwa kabisa kufanya kwa kukosa libraries, unaweza kuamua kuandika implementation yako mwenyewe lakini utachukua muda sana na probably haitakuwa efficent, kitu ambacho kinaongeza muda wa kumaliza project yako.
Hapa ndipo hua nakuja kujiona fala maana hata kilichoandikwa sikielewi.
 
Umesomeka vyema kabisa.
Swali la kizushi kidogo mkuu...

Tumekua watumiaji /utilizers wazur sana wa hiz programming platforms/languages and their respective IDEs ili ku develop softwares... but i wondér how can someone develop these languages...yan uka develop your language, compilers, libraries INDEPENDENTLY of whatever existing now???
Na hii ndio maana binafsi i preffer zaid kuwa conaidered as a software programmer than Developer...

Mimi ni begginer kwenye programming lakini nilichogundua ni kwamba, kwenye programming vitu vingine inabidi uviache kama vilivyo usivifuatilie unaweza ukachizi.
 
Just know your path I mean roadmap yako ni ipi. Unataka kuwa nani maana siku zote kila language ina kazi yake
Mfano kama unataka kuwa AI au ML engineer komaa na python au R Kwenye data science
Kama unataka kuwa web developer, Chagua front-end frame work itakayokurahisishia kazi mfano react js for the front end au node Js au Django for the backend. Mpaka leo chuoni kwetu kuna ubishi wa what is the best programming language na nimeona platform nyingi hasa Twitter in recent years Mada kama hizi zimekuja juu.. Kila developer anavutia kwa language anazo prefer kutumia. I think kila mtu afanye anachokiona chepesi cha muhimu ni kuleta ugali mezani
 
phython for AI,Machine learning etc.

Php js, for web development
kila programing language ni best inategemea na project yko na ume master ipi
 
Umesomeka vyema kabisa.
Swali la kizushi kidogo mkuu...

Tumekua watumiaji /utilizers wazur sana wa hiz programming platforms/languages and their respective IDEs ili ku develop softwares... but i wondér how can someone develop these languages...yan uka develop your language, compilers, libraries INDEPENDENTLY of whatever existing now???
Na hii ndio maana binafsi i preffer zaid kuwa conaidered as a software programmer than Developer...
Unaweza kutengeneza library specific kwa ajili ya language au framework unayotumia kama ipo very specialized na upo likely kuitumia mara nyingi...lakini kutengeneza language yako inaweza isiwe a very good idea ukiifanya individually unless una muda na unataka kufanya kwanza kwa ajili ya kujifunza, mostly individually wanaofanya hivyo ni watu wanaokuwa kwenye tafiti ama wenye uwezo mkubwa kufikia kuona mapungufu ya lugha zilizopo na kuja na kitu kipya. Kwa soko letu la Tanzania haina benefit kujua namna ya kutengeneza lugha yako etc. unaweza kuanzia kusoma hivi vitabu kupata mwanga👇
 
Attachments

  • Alfred V. Aho, Monica S. Lam, Ravi Sethi, Jeffrey D. Ullman-Compilers - Principles, Techniques...pdf
    5.8 MB · Views: 12
  • waitegoos.pdf
    1.9 MB · Views: 13
Unaweza kutengeneza library specific kwa ajili ya language au framework unayotumia kama ipo very specialized na upo likely kuitumia mara nyingi...lakini kutengeneza language yako inaweza isiwe a very good idea ukiifanya individually unless una muda na unataka kufanya kwanza kwa ajili ya kujifunza, mostly individually wanaofanya hivyo ni watu wanaokuwa kwenye tafiti ama wenye uwezo mkubwa kufikia kuona mapungufu ya lugha zilizopo na kuja na kitu kipya. Kwa soko letu la Tanzania haina benefit kujua namna ya kutengeneza lugha yako etc. unaweza kuanzia kusoma hivi vitabu kupata mwanga👇
Thank you very much.Very wise indeed
 
Back
Top Bottom