Siku yangu ya kwanza kujiunga JF nilidhani haya


Kama kuna ukweli hivi!!
 
Nilivutiwa na mijadala makini ya JF tuu..hasa upande wa Tech na jamii intenl.

Nilijua jf kuna watu wahuni na watu wema kama zilivyo forum zingine..

Niliamini asilimia 70% ya jf members ni watu fulani wenye upeo mkubwa na wenye kuweza kuchambua mambo..lakini ni tofauti na uhalisia..

Ki-ufupi nilikuwa na picha halisi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haaahaha...pole mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…