britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 15,636
- 30,004
- Thread starter
- #101
HahahNilidhani mleta mada ni zinga la genius
HahahNilidhani mleta mada ni zinga la genius
Nachofahamu Mimi watu tulip wakorofi humu na tunaocoment sana in real life tuko very Introvert na Watu wasiochangia sana ndio Extrovert hatari in real life (waongeaji kupitiliza)
Mbaya zaidi, ogopa wale wanaojifanya sana hekima au wanashauri washenzi hao bora sisi mambumbumbu.
Sio kama ndio ukweli wenyewe huo mpenzi
Kama kuna ukweli hivi!!
Umenifanya nianze kuwafikiria wenye busara kina Malcom Lumumba basi ikanijia picha ya boonge la kimeo.Sio kama ndio ukweli wenyewe huo mpenzi
Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
hahaa usijali bibie.. ndio hivyo ilivyo nadhani umeona nyuzi zilizoletwa juu ya watu haoUmenifanya nianze kuwafikiria wenye busara kina Malcom Lumumba basi ikanijia picha ya boonge la kimeo.
Akija mwambie sio mimi niloandika hapo niko hacked.
Silent killers, hatari sana.hahaa usijali bibie.. ndio hivyo ilivyo nadhani umeona nyuzi zilizoletwa juu ya watu hao
Yani wewe wa kunisaliti mimi kweli ??hahaa usijali bibie.. ndio hivyo ilivyo nadhani umeona nyuzi zilizoletwa juu ya watu hao
Umenifanya nianze kuwafikiria wenye busara kina Malcom Lumumba basi ikanijia picha ya boonge la kimeo.
Akija mwambie sio mimi niloandika hapo niko hacked.
Baba Mchungaji wa watu mniache nipumzikeSilent killers, hatari sana.
Baba mchungaji hulali?Baba Mchungaji wa watu mniache nipumzike
Naandaa neno la keshoBaba mchungaji hulali?
Daaah hili jina hili.....We haya tu!
Haya silent killer.
Hahaa power of women buddah..Yani wewe wa kunisaliti mimi kweli ??
Duuh haya bwana, mimi ngoja ninyamaze sasa!Hahaa power of women buddah..
Haaahaha...pole mkuuNilizani Mzizi mkavu ni mganga kumbe mgangaanjaa tu nilizani Miss chaga ni bonge la mama kumbe kawaida nikazani nyani ngabu ana undugu na lemutuzi kumbe sio.
nilizani Britanica ni mfanya biashara kumbe ni walewale wa tuma kwenye number hii. nilizani lara one ni single kumbe ni mama na mtoto nikazani jamii forum members karibia wote wanaishi njee ya Tz kumbe wengi ni wanafunzi tena st. kayumba na Udom.
Alufanyaje??
Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Comment ile sikujurupuka kuiandika.. nilikua najua nachoandika..