Siku yangu ya kwanza kujiunga JF nilidhani haya

kipindi hicho wanawake walikuwa wana tu Pm na tunapeana kampani
haikuwa ngumu kubadilishana mawazo na kupata marafiki wapya kutoka jf
Hali iliyonifanya niwe na marafiki wengi na kutengeneza channel nzuri
maada za ujasiriamali zilikuwa moto kwenye siasa kulikuwa siyo haba haikuwa ajabu kubishana na mbunge/waziri
Nimeikumbuka jf ya kipindi kilee.
jf ile haikuwa ya nadharia ilikuwa ya uhalisia ...
baada la wimbi la simu za kichina ie.tecno&itel Co
hapo ndipo jf ikavamiwa
hata watt na wachnga kichwani walikuwepo
matapel na wa fake maisha wakaingia jukwaani
hile radha ya jf ikapotea
na kuaminiana kama zamani kukaanza kupungua
ikawa Kila kitu tunafanya kwa machale kuanzia kucoment mpaka Ku acces jf...
nakumbuka kipindi cha miaka ya 2008-2010
ilikuwa fahari kuwa mwanachama wa jf..
niliwahi kupata rafiki mzuri SANAAAA baada ya SIKU moja Ndani ya daladala kunikuta na acces Jf..
lakini now daz aseee yaani hata kuifungua jf mbele ya kadamnasi imekuwa shidaaaa.....
NB: zamani wakati natumia username nyingine kabla sija4gate password na neno la kuingilia

maana hamchelew kuona nimejoin lini huku
 
Hehehe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom