Siku ya pili katika mahusiano ameanza kupiga mizinga

Siku ya pili katika mahusiano ameanza kupiga mizinga

Mlikubaliana muanze kusaidiana kama kuna uhitaji baada ya muda gani? Ungesikia amepata uhitaji akamuomba X wake ungelalamika pia? Kama huna mwambie kama unayo Mpe!!!!
Laki na nusu umefungua thread,akiumwa ukaambiwa utoe nauli ya India familia itagharamia matibabu utaita waandishi Maelezo!!!!!!
 
press conference
 
Aiseee.........
Hivi umenionea snowhite wapi?
 
Last edited by a moderator:
ulitaka chai ya moto...............
Source: watu8
 
Last edited by a moderator:

Yawezekana huyo binti ni member wa kikosi cha mizinga kutoka Block 41 Kino kwa nabii koko Kala Pinna.
 
Really? Hivi watu wa hivyo huwa mnawatoa wapi?

Maana wengine hatujawahi kabisa kukutana nao.

Nadhani huenda ikawa vibes unazotoa ndo zinamfanya akupige mzinga haraka haraka namna hiyo.

Ila kwa kweli huwa sielewi kabisa watu wa hivyo huwa mnawatoa wapi! Kwenye mavilabu ya pombe chafu?

Asante kaka yangu bora umeongea wewe, manake aina ya mahusiano ambayo wanaume wa humu hujakuomba ushauri huwa nabaki mdomo wazi mpaka huwa nahisi labda wanatunga tu hizo stori
 
Asante kaka yangu bora umeongea wewe, manake aina ya mahusiano ambayo wanaume wa humu hujakuomba ushauri huwa nabaki mdomo wazi mpaka huwa nahisi labda wanatunga tu hizo stori

Ni vigumu kuwachukulia serious kabisa! Wakati mwingine unaweza kudhani wanaishi sayari nyingine!
 
Really? Hivi watu wa hivyo huwa mnawatoa wapi?

Maana wengine hatujawahi kabisa kukutana nao.

Nadhani huenda ikawa vibes unazotoa ndo zinamfanya akupige mzinga haraka haraka namna hiyo.

Ila kwa kweli huwa sielewi kabisa watu wa hivyo huwa mnawatoa wapi! Kwenye mavilabu ya pombe chafu?

Mi mwenyewe cjawahi kutana na watu wa namna hii, laki na nusu ni mshahara wa mtu ati.
 
Ukitaka kujua ni demu wa aina gani, mwambie huna hiyo pesa.
 
Kama ulimpata kwa swaga za ela unategemea nini
 
View attachment 146763
acha ubahili, wenzio wanatoa kilo 2 ya kusuka tu, hapo bado matumizi mengine

Kilichonifurahisha ni hiyo sms ya kwenye kisimu cha tochi tena kitochi cha mchina cha line 2,kama anaweza suka kwa laki 2 ilitakiwa basi na simu iendane na hadhi ya hizo nywele anazosuka,loh

Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
Hapo watu wasikushauri ujinga eti mpe acha ubahiri hao ni mapunguani wakubwa.. Em chunguza uyo ni dem wa aina gani coz dem anayejitambua lazima ajistukie ndani ya muda huo.. Nishapigaga madem wengi sana hadi hapa nilipo so kuwa makini na madem wa hyo type naweza mlia tym njoo uchukue then una mla mzgo unampa hyo hela then unachapa lapa..!! Sometime huwa wanataka kukukomoa so na ww fanya ivyo.. Eti acha ubahiri angalia hizo kauli kuna watu malimbukeni sana wa papuchi ndo kauli zao hizo

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Sabal kheir wadau,,,
niko kwenye mahusiano na mdada mmoja hvi ambapo hatuna hata wiki katika mahusiano,,,chakushangaza jana kanitumia sms kuwa anaomba pesa kiasi cha shilingi laki moja na nusu kwa ajili ya matumizi,,,,najiuliza hapa kabla ya kumtokea alikuwa anapata wapi pesa ya matumizi!? kingne naona ni mapema sana kuanza kunililia shida!!! Pana mapenzi ya dhati hapa!?

nimeamua kumkaushia,,,,me mwenyewe hata papuchi sijapewa nikipewa sio nitaombwa million

Pole Mkuu. Bakia njiia kuu, ila hao Mademu wapo sana tu vitaa. Mtu yoyote anaemtokea ni Potential Prey. Maranyingi sana wanafikiri kila mwanamme mwenye nyege basi hua hizo nyege zimempanda kichwani kwa hiyo ni Juha wa Kuchuna.

Hao wapo. Tena huja pewa hata utu wenyewe unaombwa hela. Hapo unanua Mbuzi lakini yumo ndani ya Gunia. Aweza kua Mzoga wa Mbwa.
 
Back
Top Bottom