nimeamua kumkaushia,,,,me mwenyewe hata papuchi sijapewa nikipewa sio nitaombwa million
Sabal kheir wadau,,,
niko kwenye mahusiano na mdada mmoja hvi ambapo hatuna hata wiki katika mahusiano,,,chakushangaza jana kanitumia sms kuwa anaomba pesa kiasi cha shilingi laki moja na nusu kwa ajili ya matumizi,,,,najiuliza hapa kabla ya kumtokea alikuwa anapata wapi pesa ya matumizi!? kingne naona ni mapema sana kuanza kunililia shida!!! Pana mapenzi ya dhati hapa!?
Asante kaka yangu bora umeongea wewe, manake aina ya mahusiano ambayo wanaume wa humu hujakuomba ushauri huwa nabaki mdomo wazi mpaka huwa nahisi labda wanatunga tu hizo stori
nimeamua kumkaushia,,,,me mwenyewe hata papuchi sijapewa nikipewa sio nitaombwa million
Mapenzi india Bongo Biashara
hayo bana kwa sisi wa sinza yapo sana na sio story za kutunga, mpaka sometime nahisi sintapata mwanamke wa kuoa, maana wanakunyima ham ya kuwa nao bora ufuge mbwa uwe unakaa na mbwa anawezakukulindio vitu vyako kuliwa wanawake wa namna hii
Sabal kheir wadau,,,
niko kwenye mahusiano na mdada mmoja hvi ambapo hatuna hata wiki katika mahusiano,,,chakushangaza jana kanitumia sms kuwa anaomba pesa kiasi cha shilingi laki moja na nusu kwa ajili ya matumizi,,,,najiuliza hapa kabla ya kumtokea alikuwa anapata wapi pesa ya matumizi!? kingne naona ni mapema sana kuanza kunililia shida!!! Pana mapenzi ya dhati hapa!?
Really? Hivi watu wa hivyo huwa mnawatoa wapi?
Maana wengine hatujawahi kabisa kukutana nao.
Nadhani huenda ikawa vibes unazotoa ndo zinamfanya akupige mzinga haraka haraka namna hiyo.
Ila kwa kweli huwa sielewi kabisa watu wa hivyo huwa mnawatoa wapi! Kwenye mavilabu ya pombe chafu?
Nakumbushia tu, mana yote yanayoongelewa yapo katika mfumo huounapenda haka kamsemo
Njaa haichagui haibagui
Wanaume hamu mnalilia ila duuu kwani kuna maalumu wa kuomba pesa??? Papuchi?? Msaada?? Kama unayo mpe kama huna mwambie huna hakuna haja ya kujiumiza....pengine mwenzio amekuwekea kamtego aone responce yako...
Naomba basi unililie njaa, sijawahi kupata hiyo privileji..
Hahahha....Mie Nna Hela Zangu My dear,
Visenti vya kuomba vinamasimango kwa nyie wanaume,