Siku ya pili katika mahusiano ameanza kupiga mizinga

Siku ya pili katika mahusiano ameanza kupiga mizinga

i meant beautiful from inside, kwahiyo huyo msichana wako inakuaje kwanza manake umesema uko kwenye relationship

hakuna relationship hapo kama umeisoma msg yangu vizuri number yake yenyewe nishafuta na big warning kapewa akijaribu kunipigia nitamfanya kitu kibaya cos nakua na hasira kudeal na jitu lisilo jitambua so no relationship there,
 
hakuna relationship hapo kama umeisoma msg yangu vizuri number yake yenyewe nishafuta na big warning kapewa akijaribu kunipigia nitamfanya kitu kibaya cos nakua na hasira kudeal na jitu lisilo jitambua so no relationship there,

okey budy
 
Sabal kheir wadau,,,
niko kwenye mahusiano na mdada mmoja hvi ambapo hatuna hata wiki katika mahusiano,,,chakushangaza jana kanitumia sms kuwa anaomba pesa kiasi cha shilingi laki moja na nusu kwa ajili ya matumizi,,,,najiuliza hapa kabla ya kumtokea alikuwa anapata wapi pesa ya matumizi!? kingne naona ni mapema sana kuanza kunililia shida!!! Pana mapenzi ya dhati hapa!?

Acheni matani nyie. Hata dogo wa miaka 10 anajua cha kufanya hapo.
 
Tatizo gear uliyoingilia imekuponza.

Wala usishtuke kama wewe ni mtu wa matangazo na kujisifia,japokuwa mabinti wengi imekuwa ni tabia.

Kifupi huyo anauza.
 
braza hapo hakuna kitu mi mwenyewe yamenikuta dem siku ya pili eti anasikia njaa sikua na shida ila nikamrushia buku tano m pesa kesho eti campany yao wanafanya sherehe eti naomba hela ya nywele ili atoke kwenye hio sherehe nilikua na hasira sikumpa nikala basi then msg nyiiiingi nikazichunia, akapiga tena ndio akapata makavu laivu tukana sana nikatukana nikatoa hasira zangu zote na kufuta numba na yyeye nimemwambia akinipigia namla tigo bila mafuta

hawana huruma hawa
 
hayo bana kwa sisi wa sinza yapo sana na sio story za kutunga, mpaka sometime nahisi sintapata mwanamke wa kuoa, maana wanakunyima ham ya kuwa nao bora ufuge mbwa uwe unakaa na mbwa anawezakukulindio vitu vyako kuliwa wanawake wa namna hii

haya mambo yapo jamani anayebisha abishe tu
 
Daha, huyo bonge la mstaarabu kuna wengine ni noumer mara baada ya kukupa contact tu mzinga unafuata " kaka samahani usinielewe vibaya nina shida ya Laki mbili, halafu anachombeza ubarikiwe sana"
 
Back
Top Bottom