mbisom ramos
JF-Expert Member
- Dec 5, 2011
- 812
- 397
Sabal kheir wadau,,,
niko kwenye mahusiano na mdada mmoja hvi ambapo hatuna hata wiki katika mahusiano,,,chakushangaza jana kanitumia sms kuwa anaomba pesa kiasi cha shilingi laki moja na nusu kwa ajili ya matumizi,,,,najiuliza hapa kabla ya kumtokea alikuwa anapata wapi pesa ya matumizi!? kingne naona ni mapema sana kuanza kunililia shida!!! Pana mapenzi ya dhati hapa!?