dikembe
JF-Expert Member
- Apr 5, 2012
- 1,645
- 1,439
Really? Hivi watu wa hivyo huwa mnawatoa wapi?
Maana wengine hatujawahi kabisa kukutana nao.
Nadhani huenda ikawa vibes unazotoa ndo zinamfanya akupige mzinga haraka haraka namna hiyo.
Ila kwa kweli huwa sielewi kabisa watu wa hivyo huwa mnawatoa wapi! Kwenye mavilabu ya pombe chafu?
Mkuu, Hebu tujuze, wewe unaishi wapi? nadhani uko nje ya DSM. kama ndiyo basi haya yote ni kawaida kwa wanaDSM.