tian
JF-Expert Member
- Jul 27, 2007
- 1,770
- 538
U mzima weye???
Hata usiwaombe cos ataita waandishi wa habari kutoa malalamiko si unaona mwenzie huku
Mie niko.pouwa,
Wallah hata siombi manake nami najua kizisaka,
Ila hawa wavulana wa kuleo kutwaa kulalama,
Na kutangaza eti wanaomba hela,
Kwani wamekuwa IMF???