LikeHongereni kwa kubadilishana mate, mi nina kinyaa usipime!! Zangu mi ni mabusu kwa kwenda mbele!!
LikeHongereni kwa kubadilishana mate, mi nina kinyaa usipime!! Zangu mi ni mabusu kwa kwenda mbele!!
[emoji23][emoji23][emoji23]alitumia nguvu niniNilihisi namezwa, na mdomo uliuma kwelikweli.
Kweli ajira ngumu ndicho tunachowaza kwa sasa
[emoji23][emoji23][emoji23]alitumia nguvu nini
Unyonyaji wa mwendokasi.[emoji23][emoji23][emoji23]alitumia nguvu nini
[emoji23][emoji23][emoji23]loh yangekukuta ya singida boy kwenda na ulimiUnyonyaji wa mwendokasi.
Alikuwa anakufeel tuu na wewe haukuwa mchoyo.Dah tulikua tunarud makwetu baada ya kumaliza kidato cha sita enzi hzo mtoto alintafuta aniage akanikumbatia tukapigana mate ya ukweli akaondoka na hatujawah onana tena,hakua dem wangu wala nn ilikua 2009, ova
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]Alikuwa anakufeel tuu na wewe haukuwa mchoyo.
don't explain missI can't explain kwakweli
Dah! Watu mna mambo.Nilihisi kutapika maana huo mlenda alokua amekula halaf hajaswaki mh... siri yangu umechachaaa[emoji2][emoji2][emoji2]
Me nlihisi Maumivu makal ShavuniAisee first kiss kwa demu wangu nilihisi nimehama ulimwengu niko sayari ya jupiter na kiza hafifu mbele yangu.
Vipi wewe ulihisi vipi?
Sihitaji tena kitu kama hicho maana hakunipa hata mzigo wenyewe aliniomba hela wakati huo suruali yenye hela nimeacha home doh! nilichoka.[emoji23][emoji23][emoji23]loh yangekukuta ya singida boy kwenda na ulimi
[emoji15] alikung'ata shavu huyoMe nlihisi Maumivu makal Shavuni