Siku ya kwanza unapiga denda ulihisi vipi?

It was a blast one.nilikuwa natoka kula. Utoto bwana. Kale kademu kakanambia usimwambie mtu. Toka hapo nikawa fundi ktk buluji
 
Duh ilikuwa raha sijawahi kuipata maishani mwangu mtoto anajua kudendeka hatari sana. Toto limenona kila sehemu na mzuri hatari nilimkumbatia mpaka pumzi zilimbana, kumuangalia kumbe mto wangu wa kulalia na hapohapo usingizi uliruka. 😉😛😀😀
 
Dah Mkuu umenikumbusha patamu sana....nikiikumbuka ile siku hadi ladha yake inajirudia....huwa naenda lile eneo kufanya hija🙁🙁🙁🙁🙁

Kwa jinsi ilivyokuwa tamu ilinifanya kupenda sana 'french kiss'' kwenye mahusiano....matokeo yake ninapofanya morphological examination, midomo ni kepengele cha pili.

Be blessed ROSE in wherever you are lol!

noma sana
 
[emoji23] sawa mukubwa hadi jina ukamtaja
 
Duh ilikuwa raha sijawahi kuipata maishani mwangu mtoto anajua kudendeka hatari sana. Toto limenona kila sehemu na mzuri hatari nilimkumbatia mpaka pumzi zilimbana, kumuangalia kumbe mto wangu wa kulalia na hapohapo usingizi uliruka. 😉😛😀😀
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji106]
 
[emoji23] sawa mukubwa hadi jina ukamtaja
Acha nimtaje tu Mkuu....lilipokuja swala la denda yule mtoto alijua cha kufanya....we fitted precisely more than key and padlock theory🙂🙂🙂🙂🙂
 
Niliema kama jibwa ...mtoto hadi akaniuliza vip jamani ulikuwa unakimbizwa ...[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mapenzi haya sijui kilinitokea nini aisee..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom