jerrysonkiria
JF-Expert Member
- Sep 5, 2014
- 2,228
- 2,902
- Thread starter
- #101
[emoji1] pole mkubwaSihitaji tena kitu kama hicho maana hakunipa hata mzigo wenyewe aliniomba hela wakati huo suruali yenye hela nimeacha home doh! nilichoka.
[emoji1] pole mkubwaSihitaji tena kitu kama hicho maana hakunipa hata mzigo wenyewe aliniomba hela wakati huo suruali yenye hela nimeacha home doh! nilichoka.
Duh [emoji28]Nakumbuka ilikua kijijini, demu anasoma boarding likizo amerudi kidume nafukuzia, sasa siku ya tukio tulimtegea mama mzaa chema kaingia ndani kulala yeye kabaki jiko la uani ndo kidume nikaomba denda, sikuinjoy chochote sababu mdomo mzima ulikua unanuka vitunguu sijui alikua amekula kachumbali!!!!!!!!
Jamaa Mdomo ulikuwa unanuka?nilitapika
2010 Vero alikua [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Aisee first kiss kwa demu wangu nilihisi nimehama ulimwengu niko sayari ya jupiter na kiza hafifu mbele yangu.
Vipi wewe ulihisi vipi?
Dah! Watu mna mambo.
[emoji15] Umenishtua2010Vero alikua [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
it was real japo kua wote tulikua ma newcomer[emoji126][emoji126]....
First kiss umepiga ukiwa chuo mkuu?? Doh, kumbe chuo unaweza ukapata bikra aiseeYaani wakati napiga denda hapo hapo nikamwaga maana tulikaa muda Mrefu tukicheza tu.. First Year Chuo Room Kwangu miaka ileeeeeee
Yeah man.. Na huyo demu alikuwa bikraFirst kiss umepiga ukiwa chuo mkuu?? Doh, kumbe chuo unaweza ukapata bikra aisee
Dah Mkuu umenikumbusha patamu sana....nikiikumbuka ile siku hadi ladha yake inajirudia....huwa naenda lile eneo kufanya hija🙁🙁🙁🙁🙁
Kwa jinsi ilivyokuwa tamu ilinifanya kupenda sana 'french kiss'' kwenye mahusiano....matokeo yake ninapofanya morphological examination, midomo ni kepengele cha pili.
Be blessed ROSE in wherever you are, lol!
May be.....[emoji15] alikung'ata shavu huyo