Siku ya kwanza unapiga denda ulihisi vipi?

Siku ya kwanza unapiga denda ulihisi vipi?

jerrysonkiria

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2014
Posts
2,228
Reaction score
2,902
Aisee first kiss kwa demu wangu nilihisi nimehama ulimwengu niko sayari ya jupiter na kiza hafifu mbele yangu.

Vipi wewe ulihisi vipi?
 
Hongereni kwa kubadilishana mate, mi nina kinyaa usipime!! Zangu mi ni mabusu kwa kwenda mbele!!
 
Nilisisimuka balaa mwili mzima nikahisi kama nipo dunia nyingine
 
Ni kadogo flan hivi na alikuwa amevaa skin jeans... Amepodoka na Bumu lilikuwa limetoka na kamvua kananyesha nje

Can you imagine?

It was veri interestingi
Hapo hatari mukubwa
 
Dah Mkuu umenikumbusha patamu sana....nikiikumbuka ile siku hadi ladha yake inajirudia....huwa naenda lile eneo kufanya hija🙁🙁🙁🙁🙁

Kwa jinsi ilivyokuwa tamu ilinifanya kupenda sana 'french kiss'' kwenye mahusiano....matokeo yake ninapofanya morphological examination, midomo ni kepengele cha pili.

Be blessed ROSE in wherever you are, lol!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom