Siku ya kwanza unapiga denda ulihisi vipi?

Siku ya kwanza unapiga denda ulihisi vipi?

Aisee first kiss kwa demu wangu nilihisi nimehama ulimwengu niko sayari ya jupiter na kiza hafifu mbele yangu.

Vipi wewe ulihisi vipi?
mzuka ulinipanda nikamng'ata ulimi hadi leo ana kovu kwenye ulimi
 
1474900096495.jpg

Kilicho nikuta.....[emoji25] [emoji25] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
 
Mi ckumbuki hata ilikuaje, maana nilikua nabaka tuu
 
Haaaaaaa demu Yule alijamba Mara tatu daaah ila mim niliendelea kupga denda tu
 
Back
Top Bottom