Dormant Account
JF-Expert Member
- Apr 5, 2022
- 11,308
- 32,790
Nilimtongoza dingi nilipigwa kibao cha kijeda nilijikuta tu nipo hospital
Nilivuta mkuuWewe haujavuta ulikua unachezea moshi. Haukuvuta moshi kuingia ndani hii ni kawaida sana kwa watu ambao wanavuta kwa mara ya kwanza. Haiwezekani uvute bangi usisikie chochote hakuna kitu kama hicho.