Siku ya kwanza kupiga punyeto(masturbation)

Siku ya kwanza kupiga punyeto(masturbation)

Nilisikia rafiki zangu wanapiga stori hizo, nikaenda kujaribu nikashindwa.... Nikajaribu tena nikashindwa. Nikaja kugundua kumbe lazima uvute feelings kwa mtu umpendae, Basi nikamvutie muuza duka karibu na kwetu, gafla nikasikia kama vile nimepigwa shoti si shoti raha si raha kama utamu flani hivi amaising. Ilikuwa bafuni hapo nikaoga...nikaenda room ila nikasikia usingizi wa ajabu nikalala kuanzia saa nne asubuhi adi saa kumi jioni. Since then sijarudia tena huo mchezo... After all ni dhambi
ha ha ha ha ha dah hadi mademu
 
Chapuuta kwenye ubora wenu ...kuna mshkaji tulisoma nae uboyzn alikuwa kiboko kwenye puli ..tulikuwa tunamwita muua watoto ...ulikuwa hivi yeye puli yake tofauti kabisa na cio na sabuni ...alikuwa anatoboa godoro lake size ya penis kidogo tu then analala kifudifudi anaingiza kwny kile kitundu aiseeh watoto wengi sana waliuliwa ....ila jamaa alikuwa yupo vizuri class maakili yakutosha .....akumbukwe kiponda
Si useme tu kuwa ni ww
 
Mimi nilianza mwaka jana mwishoni...
Ilikua tamu ila Sijajaribu tena...

[emoji23][emoji23][emoji23] au huu uzi ulikua unawahusu wanaume tu?
Kama una kibamia usipite huku
 
Mkuu kwa waliosoma boyz ni kawaida uko mabwenini ......kila skul nadhan wana jina lake ....tulikuwa tunaita kuua nyoka. Na ata nikisema ni mimi kwani nakufa ????? Агсл нщг
Uboyzin nilipopita mimi tuliuita MGALALA
 
ndizi linasaidia vipi kiongozi?
Haina chemicals inasaidia mishipa isilegee,sabuni kama unavyojua ina kemikali marashi ya sabuni pia siyo mazuri kwenye misuli ya shaft,halafu uzuri wa ndizi iliyoiva sana ni ule utelezi..weee!! Raha mara sabini.
 
[emoji32][emoji32][emoji32]
 
Haina chemicals inasaidia mishipa isilegee,sabuni kama unavyojua ina kemikali marashi ya sabuni pia siyo mazuri kwenye misuli ya shaft,halafu uzuri wa ndizi iliyoiva sana ni ule utelezi..weee!! Raha mara sabini.
wacha nile tu mkuu..napenda sana kula ndizi...mke wangu anatosha..
 
Back
Top Bottom