Siku ya kwanza kununua Condom

Siku ya kwanza kununua Condom

Hongera mwaya kwa kujijali kiafya na kuepuka neno la "ninge" lisikusumbue maishani.
Mimi kiukweli na sarakasi zangu kibaao mpk leo ila sijawahi kbsaaaa nunua narushaga mpra upande wa pili kwa kumwambia uje nayo mimi ninamambo mengi.....

Teh teh...
Sasa akigoma kuja
Nayo inakuwaje? Hapati game
 
Mabadilikooo....

Ah no nime-mistaken kidogo, Vp Mkuu Analyse...
Daaaa mi hiyo kitu sijawahi kukutana nayo yaani kokote niliko lazima zana iwepo...!
Yaani hata hapa nilipo sasaivi napata kistua tumbo lakini zana haikosekani karibu.

Narudi zangu Jukwaa la siasa naona kule mambo yamepamba moto balaa.

Halafu one thing, sina mda mwiingi tangu nijiunge JF lakini kwa mada kama hii sidhani kama Mr. The Boss atachangia kama alikuwahi au hakuwai kuuza mechi..
Huyu mtu anajiheshimu sana. Nafkiri hukumtendea haki kumtag kwenye mada kama hii.

Anyway ni mtazamo wangu tu.
 
Last edited by a moderator:
dah..mimi mwenyw nilienda mbali kdogo nikasubr watu waishe hvy hvy kisha nigaagiza mzgo...lakin sikuogopa kusema kwa sababu nilimkuta dogo mmoja ndo anauza duka.
 
Nilikuwa Class 6
Nilienda nikamkuta Mmama yupo nikamwambia nimetumwa condom naenda fanyia experiment shule, akanipa nikaificha....
Hata hivyo sikuitumia ipasavyo,
Asubuhi na mapema nikaitupa nikiwa naenda school

Uliigeuza nn mkuu??
 
Hahaha mkuu umenikumbusha mbaliii! Mimi nilifika kwenye duka nikawa nacheka tuu! Hapo nakuna nywelee kichwani! Si demu mwenyewe akaja hapohapo kwa duka! Weee sikununua na kuagiza pipi ya kifua na kutimua!! Zoezi nililianza bila ya Cdm siku hiyo!

Demu alikukata stimu kuja dukan na yy
 
Mimi nilimtuma Mlinzi kwa ahadi ya kumnunulia sigara kibaya zaidi hata sikuitumia.
 
Mabadilikooo....

Ah no nime-mistaken kidogo, Vp Mkuu Analyse...
Daaaa mi hiyo kitu sijawahi kukutana nayo yaani kokote niliko lazima zana iwepo...!
Yaani hata hapa nilipo sasaivi napata kistua tumbo lakini zana haikosekani karibu.

Narudi zangu Jukwaa la siasa naona kule mambo yamepamba moto balaa.

Halafu one thing, sina mda mwiingi tangu nijiunge JF lakini kwa mada kama hii sidhani kama Mr. The Boss atachangia kama alikuwahi au hakuwai kuuza mechi..
Huyu mtu anajiheshimu sana. Nafkiri hukumtendea haki kumtag kwenye mada kama hii.

Anyway ni mtazamo wangu tu.

Nimekusoma mkuu Kizzy Wizzy.

But we just sharing stories and pass the time i hope i didnt offend him The Boss
 
Last edited by a moderator:
Dah nmecheka mpaka majiran wakastuka kuulizia kunani huko?. Mm km wewe tu, japo mm nilinunua nying tu ilipofika usiku nikaenda toilet nikaanza kujifunza kuvaa, nakumbuka niliziharibu km 3 na kubakiwa nazo 3 zngne ndpo nikaenda kukutana na huyu mdada. Kununua condom duka ambalo lpo bize(wateja weng) kunahitaj moyo mgumu, nilipanda daladala kuelekea mtaa nisiojulikana ndpo nikanunua kwa ujasili. Shda tupu hayo mambo!

Tukiwa katika tukio kumbe mwanaume haujui namna ya kuvaa condom,ikabidi nimvalishe mbili

Kwa mara ya kwanza nilishangaa mbona hafananii au anajaribu aone!!! lakini niliona kabisa mambo yetu si mta
 
hahaha watu wananunua condoms super market kabisa, nini dukani!!! mpo kwenye foleni zinatolewa moja moja scan, hapo kila mtu anajua leo kuna match...
 
Tukiwa katika tukio kumbe mwanaume haujui namna ya kuvaa condom,ikabidi nimvalishe mbili

Kwa mara ya kwanza nilishangaa mbona hafananii au anajaribu aone!!! lakini niliona kabisa mambo yetu si mta

Baadae nikazoea, ulipita mwenge mtaani kwetu. Nikaenda kubeba boksi 2 za cdm nikidai naenda kuzigawa kwa watu, nikaenda kuzificha nyumban kwenye begi la nguo, nikawa napunguza moja baada ya nyngne. Mpaka naenda chuo, nako nikaenda na boksi moja bahat nzur halmashaur nilikopangiwa field nako nikakuta ofisin maboksi meng pia nikachukua moja nikahamishia room. Nlpohitimu chuo nikaacha kabisa, nikaamua kumtumikia YESU
 
hahahahaha!!!!!!!Nakumbuka Mimi siku ya kwanza nilimtuma mdogo wangu Akaninunulie akaenda sasa Aliporudi Akanikuta nimekaa na Mama pamoja na Dada Zangu sasa yeye badala ya kuuchuna Yeye si Akanipa kwa kunirushia nilipotaka kuzidaka nikazikosa zikaanguka chini na kutoka kwenye kalatasi.. Nilitimua mbio huku nikiacha songombingo kwa dogo
 
Tukiwa katika tukio kumbe mwanaume haujui namna ya kuvaa condom,ikabidi nimvalishe mbili

Kwa mara ya kwanza nilishangaa mbona hafananii au anajaribu aone!!! lakini niliona kabisa mambo yetu si mta

Haaaaa!! Kumbe wewe ni Ke? Mkuu ule mrejesho ntakuletea soon
 
Analyse

Sehemu nzuri ya kununulia condom ni pharmacy tena kama una aibu nenda mida ya saa 3 usiku au kama vipi kwenye vile vibanda vibanda wanavouza fegi wanakua nazo na wala hawana noma wasela
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom