Baadae nikazoea, ulipita mwenge mtaani kwetu. Nikaenda kubeba boksi 2 za cdm nikidai naenda kuzigawa kwa watu, nikaenda kuzificha nyumban kwenye begi la nguo, nikawa napunguza moja baada ya nyngne. Mpaka naenda chuo, nako nikaenda na boksi moja bahat nzur halmashaur nilikopangiwa field nako nikakuta ofisin maboksi meng pia nikachukua moja nikahamishia room. Nlpohitimu chuo nikaacha kabisa, nikaamua kumtumikia YESU
Hongera kwa kupata uzoefu