Gojaga Nize
JF-Expert Member
- Jul 1, 2015
- 3,177
- 2,538
Nimecheka kwenye
"Nirudishie hela yangu"
"Nirudishie hela yangu"
Nini kimekufanya uhisi hivyo? The Boss nae itabidi ajibu swali hili
Haya mambo we acha tu!, ww km ni mwenyej wa mkoa wa mby. Mm nilikuwa natoka airport naenda mbaliz au uyole kununua cdm. Huu ujinga sitausahau kabisa!, mapenz shida tupu
Dah mwanangu mm pia mara ya kwanya ni hapo mbeya ukizingatia me nilikua c mwenyeji xaana hapo xo ilikua kaz nyepesi japokuwa nilienda ucku kama xaa3 iv
Analyse
Sasa wewe unatumia condom halafu unajiita kweli Mwanaume au Shujaa? Mwanaume asiyetumia condom katika tendo lolote la Ndoa hata uwezo wake wa KUFIKIRI ni MKUBWA, MZURI na ULIOTUKUKA kushinda wale wanaopenda kutumia ambao 99.999% huwa ni GOIGOI KICHWANI na hata Tendo lenyewe HAWAJUI KULIFANYA IPASAVYO. Kweli Wewe POYOYO yaani ujanja wote huo kumbe UNATUMIA condom? Umeniangusha na kunipandisha sana hasira kwani kwa kutumia kwako condom UNATUKOSESHA viongozi Wazuri wa baadae wa Taifa hili hasa baada ya Dr. Magufuli kumaliza ngwe yake hapo 2025.
Sana mkuu hapa umegusa wengi sana...yaani
hii nisawa na kina dada kununua pedi za siku zao..wengi huwa
wanakuwa na kigugumizi kama cha vidume kwenye
condom....
hahahahaha!!!!!!!Nakumbuka Mimi siku ya kwanza nilimtuma mdogo wangu Akaninunulie akaenda sasa Aliporudi Akanikuta nimekaa na Mama pamoja na Dada Zangu sasa yeye badala ya kuuchuna Yeye si Akanipa kwa kunirushia nilipotaka kuzidaka nikazikosa zikaanguka chini na kutoka kwenye kalatasi.. Nilitimua mbio huku nikiacha songombingo kwa dogo
Class 6 miaka mingapi wewe ulishabalehe? ulimfanya nani?
Hahahaaah hii Kali....Jf bwana!!
Mimi kwa mara ya kwanza nilimkuta dada wa makamo kidogo kwenye duka la bidhaa mchanganyiko. Foleni haikatiki na muda unakwenda nikamuuliza, DADA YULE BINTI YAKO SALAMA YUPO ANILETEE MAJI YA KUNYWA??
Alinipata na kunijibu kuwa amemtuma kwa bibi yake. Nilisepa na mzigo nikasamehe.
Hha yanii ulivyosema pedi umenikumbusha mbali sana
Mara yangu ya kwanza nilitetemeka balaa afu muuzaji alikua mwanaume yanii acha tu
Nilifika pale dukani nikakuta kuna watu wengi nikajifanya nimeaahau kitu nyumbani
nikarudi mpk nyumbani nikaanza kujilaum tena
Nikarudi mara ya pili hapo nimekaza moyo balaa yanii hata kutamka neno pedi ilikua kwa shida sana huku jasho mikononi mpaka kupata nilichopata ilikua kazi kweliii
Ulichukua mmojawapo kutoka hapo pharmacy???
Nini kimekufanya uhisi hivyo? The Boss nae itabidi ajibu swali hili
Hahah mi kiwembe tu nakigugumizi sembuse hiyo kitu.