Tanganyikana
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 1,160
- 364
Daah m nashukuru shoga angu wa karbu sana alikuwa anauza dukani kwake, hvyo nilikuwa cpati kaz. nilikuwa naenda nazichukua tu kwenye boks kisha nampa ela yake thn nasepa.. Ilikuwa simpo sn!!
Ulikuwa unanunua za kike au za kiume?
