Siku ya kwanza kuchepuka nililia machozi

Siku ya kwanza kuchepuka nililia machozi

Ila ulinipa hasira sana siku ile, nakupiga kimoja halafu unakimbia... sasa kwa taarifa yako ile hela uliyonirudishia nilienda kuchukua voda fasta mpaka kukakucha...
[emoji3] [emoji3] [emoji3] mbavu zangu,kama wewe ni wa mwembechai yawezekana
 
Siku ya kwanza kuchepuka ulitoa machozi...vipi siku ya pili na ya tatu ilikuwaje...malizia story yote[emoji3][emoji3][emoji3]
Baada ya jamaa nilimpenda mpaka kumtolea machozi kunifanyia mbaya,sikutoa machozi tena baada ya kumpata mwingine
 
Kwani ukiwa na mpenzi,huyo si ndo mtu wako,ina maana ikitokea ukawa na mtu mwingine hapo utakuwa umemsaliti it means umechepukaaa,au unamaanisha mpaka ndoa ndo kuchepukaa?
Wenye ndoa peke yao wakienda kinyume na wenza wao ndo huwa wanachepuka,kwa kuwa papuchi na gegedeo vimemilikishwa kisheria na mamlaka zinatambua!!Ndo maana kama umeoa/umeolewa halafu mwenzako hakupi tendo unaweza kwenda kushitaki!!Hivyo ndoa pekee ndo njia kuu hayo mahusiano mengine ni holela tu na uzinifu!!
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] mbavu zangu,kama wewe ni wa mwembechai yawezekana
JF kubwa hii bibie kwani kwenye avatar kuna address ya mtaa mtu unapoishi? Anyway nakutania tu lakini.. ila hukufanya powa kabisa..... kitendo kama hiki kwangu adhabu yake ni ya kumwaga mtu damu ama kupelekea mauaji.
 
Umelelewa kwenyw familia za rozari na kristu mstakatifu.
Ukifanya dhambi ila hukutaka ni kama ulijisahau tu.. Na sio kwamba hutorudia kufanya hivyo.
Utarudia tena na tena.
Kwanza nifate pm
[emoji3] [emoji3] [emoji3] makubwa
 
JF kubwa hii bibie kwani kwenye avatar kuna address ya mtaa mtu unapoishi? Anyway nakutania tu lakini.. ila hukufanya powa kabisa..... kitendo kama hiki kwangu adhabu yake ni ya kumwaga mtu damu ama kupelekea mauaji.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] makubwa,ufanye mauaji pasipopendeka jamani,kama ulionja siku hiyo shukuru,tafuta mwingine tenaa
 
We utakuwa unatokea kigoma au sijui wapi?? Mdada Wa mjini aache pesa?? Haiwezekani kabisa.
Tena jamaa ameshapenyeza mkuyange kabisa....(hapo ni kujisemea sasa ameshapiga bao moja na kunifahamu maungo yangu..acha nijiondokee nazo tu hizi ela maana haifuti doa aliloweka)...ila inaonekana kama alipewa fedha kabla ya tukio maana alivaa na kuchukua mkoba na ela akamrushia
 
Back
Top Bottom