Tumsifu Samwel
JF-Expert Member
- Jul 30, 2007
- 1,407
- 159
MAAJABU ya mzee Rajabu!
Typing error tu mkuu, usitake kukuza mambo hapa we vp bana unakuwa kama umetoka kwenu leo acha hizo JM.
MAAJABU ya mzee Rajabu!
Typing error tu mkuu, usitake kukuza mambo hapa we vp bana unakuwa kama umetoka kwenu leo acha hizo JM.
19....Namaanisha mwaka wa elfu moja miatisa na......, nimefanya hivyo ili kuzuia mwaka niliozaliwa usijulikane kama walio wengi wanavyofanya ili nisionekane mshamba wa kutaja miaka yangu holela, isingekuwa hivyo mbona ningeweka tu,tarehe 1 March 19... duh mkuu tuseme unatimiza miaka 1991 hongera sana mkuu kwa kuweza kuishi miaka mingiii
19....Namaanisha mwaka wa elfu moja miatisa na......, nimefanya hivyo ili kuzuia mwaka niliozaliwa usijulikane kama walio wengi wanavyofanya ili nisionekane mshamba wa kutaja miaka yangu holela, isingekuwa hivyo mbona ningeweka tu,
Kuna ndugu yangu mmoja kasema 1986, sio huo, mwaka huo nilikuwa naanza kuchomoka meno ya utoto
........Waswahili kweli tunachekesha, hivi kutaja umri wako ni ushamba ehehehe!! Ndio maana napenda utamaduni wa kizungu kila kitu kipo wazi hakuna kuficha ficha. Umri wala sio siri na kama mtu unaogopa uzee utafika tu.
.......Happy birthday baby boy!!
Hey Pretty...I got a question for you?
.......U wanna know something just ask me.
Siku ya tarehe 1 March 19....... saa 7.25 jumapili mchana, (tarehe kama ya leo,) nilizaliwa.
kutakuwa na tafrija leo jioni saa 12, wote mnaalikwa. waliopewa jukumu la kusambaza kadi waongeze kasi.
Karibuni wote.
We Julius vipi? yaani avatar tu imekuyeyusha? shauri yako!why are you so damn beautiful?