Siku ya kuzaliwa

Happy Birthday...na utualike kweli maana wengine hatupendi mizaha kwenye msosi ala...
 
Typing error tu mkuu, usitake kukuza mambo hapa we vp bana unakuwa kama umetoka kwenu leo acha hizo JM.

si yameisha jamani.....
mtaharibu sherehe ya watu bure....

happy b'day tena Kaitaba
may you live to see your great grand children
Blessings always!!!
 
Happy birthday mkuu
103005_th.gif
 
tarehe 1 March 19... duh mkuu tuseme unatimiza miaka 1991 hongera sana mkuu kwa kuweza kuishi miaka mingiii
 
tarehe 1 March 19... duh mkuu tuseme unatimiza miaka 1991 hongera sana mkuu kwa kuweza kuishi miaka mingiii
19....Namaanisha mwaka wa elfu moja miatisa na......, nimefanya hivyo ili kuzuia mwaka niliozaliwa usijulikane kama walio wengi wanavyofanya ili nisionekane mshamba wa kutaja miaka yangu holela, isingekuwa hivyo mbona ningeweka tu,

Kuna ndugu yangu mmoja kasema 1986, sio huo, mwaka huo nilikuwa naanza kuchomoka meno ya utoto
 
........Waswahili kweli tunachekesha, hivi kutaja umri wako ni ushamba ehehehe!! Ndio maana napenda utamaduni wa kizungu kila kitu kipo wazi hakuna kuficha ficha. Umri wala sio siri na kama mtu unaogopa uzee utafika tu.

.......Happy birthday baby boy!!
 
Hey Pretty...I got a question for you?
 
Hello Twin :) Happy Birthday Mkuu. May you live to blow 101 candles. I wish you good health, prosperity and success in your daily undertakings.

HAPPY BITHDAY
 
Siku ya tarehe 1 March 19....... saa 7.25 jumapili mchana, (tarehe kama ya leo,) nilizaliwa.
kutakuwa na tafrija leo jioni saa 12, wote mnaalikwa. waliopewa jukumu la kusambaza kadi waongeze kasi.

Karibuni wote.:D

Happy 29th Birthday. May you live to be wise, principled and a man of honour.
 
SHUKRANI;
Nachukua nafasi hii kuwashukuru wote, na hasa wafuatao kwa salaam na kheri nyingi walizonitumia,
1.Bubu ataka kusema
2.Preta
3.Jafar
4.bht
5.Ngalikihinja
6.Paka jimmy
7.Pearl-
8.Katavi-
9.Charity
10.Carthbertl
11.First Lady1
12.Crash wise
13.Mchukia fisadi
14.Konaball
15.Lady N
16.Pretty
17.Nyani Ngabu
18.Theodorah
19.Cheusi mangala
20.Dreamliner
21.Gender sensitive
Na wengine wengi nawashukuru sana Mwenyezi Mungu awabariki kutokana na baraka nyingi mlizo niombea, AMEN
 
Back
Top Bottom