Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,822
- 233,255
Kwenye mali za baba yao? Hawakuambulia hata soks hata kijiko. Yuko mtoto wa nje ya ndoa ndo alijimilikisha vyote.
Hawa watoto wa nje ya ndoa ni hatari.
Nazidi kumngojea Mungu aje aamue mwenyewe.
Ilikuwaje wewe na watoto mkafanyiwa hivyo?Kwenye mali za baba yao? Hawakuambulia hata soks hata kijiko. Yuko mtoto wa nje ya ndoa ndo alijimilikisha vyote.
Hawa watoto wa nje ya ndoa ni hatari.
Nazidi kumngojea Mungu aje aamue mwenyewe.
Kuridhiwa na Mola maanayake... Nife nikiwa. Mtu mwema...Sawa ila hakuna anaekufa hajaridhiwa Na Mola. Hayo maneno mengine ni Faraja ya insecurities Tu
Si wewe tu,Mimi ndio nasema. You are not required to quote any verses from scriptures.
Baada ya kuhudhuria mafunzo ya FBI na China-MSS, nilielewa kwamba binadamu yeyote mwenye AKILI kubwa ni lazima ailazimishe akili yake kukikubali KIFO.
-
Tukiwa na training team ya China MSS, swali la kwanza kuulizwa ni; " Do you fear death ? My honest answer, as we were taught never to lie, was Yes, I do.
-
Tulijibiwa kwamba How could that possibly be , you fear something you never had any experience before? is there any person in all our recorded history ever experienced The Go and Return to share the experience, they asked.
-
We said, We don't know!
-
Wakatuambia, ili mjifunze haya mliyojia and to serve the world as well as the state; you guys have to accept death as the matter of TRUTH. Pili, No one knows the TRUTH but we think we do. We are all living in myths and fantasies of the past just to secure our insecurities.
-
It is one of those days I came to realize that many people have been dying without living the life . Ni wachache sana wamefanikiwa kufunua BUSWATI na PAZIA ili kuona the glimpse of life. Kibaya zaidi haya mambo you can not be taught. Verily, you have to check it by yourself. Curiosity never killed the Cat. THINK!
-
Siku ya KIFO Changu
1. Sitotaka mwili wangu kusafirishwa kupelekwa Kilimanjaro Unless nimefia NAMIBIA, kitu ambacho siamini hivo, siku zangu zikikaribia, for sure I will know, nitarejea nyumbani. Nitapenda kuzeekea Dar es salaam, mji ambao ninaupenda sana.
2. Nimefungua death account kila mwezi naweka dola 100 kwa ajili ya kugharamia maziko yangu, I have documented that on my Diary. sitaki yeyote atoe senti yake kwa maziko yangu.
3. Sitohitaji watu wakae matanga, nikishafukiwa, kila mtu aondoke kwenda kufanya yanayomuhusu.
4. Masaa 7 Tangu kifo changu niwe nimeshazikwa, naamini nitakuwa sijaanza kutoa harufu ya kuliwa na bacteria.
5. Kaburi langu lisijengewe wala kuandikwa jina.
6. Nisivikwe nguo yoyote zaidi ya kitambaa kitakachohifadhi tupu zangu.
7. Sitoruhusu kwa mtu yeyote aliyelewa kuhudhuria maziko yangu na wala kwenye maziko yangu sitoruhusu pombe
8. Sitopenda nyimbo zozote zipigwe wala mtu yeyote kuimba. It is the moment of silence to honor my existence
9. Haitoruhusiwa Kulia. Kwanini ulie? Kwani hukuwahi kujua kwamba tumezaliwa ili tufe, jiandae kwa sababu for sure Utakufa.
10. Ndugu yoyote hausiki kwenye Mali zangu kwa namna yoyote ile , mali zangu ni za watoto wangu na mke wangu tu , I have documented that on my diary, Bank accounts and legal issues.
-
Je, siku ukifa, ungependa vitu gani usifanyiwe kwenye maziko yako? na je ungependa ni nani awe mrithi wa mali zako?
Thank you and Rest In Peace to all the humans who have stepped into the truth of death. To all the humans who Have died due to Covid-19, and for those who continue dying due to COVID -19.
Chukua Tahadhari. Akili za kuambiwa, Changanya na zako.
Sawa bingwa wa 'common mistakes' :Kwa uandishi wako tu, it is obviously wewe ni MJINGA. I advise you to go and read Common Mistakes in English.
Si wewe tu,
Hayupo yeyote mwenye Haki Wajibu wala Mamlaka ya kumpangia/kumshurutisha/kumkatalia mwingine yeyote kufanya chochote apendacho achilia mbali kunukuu maneno matakatifu katika hali ambayo si ya dhihaka au dharau ya maandiko husika.
Sijui umenielewa?
Nami ninesema.
Nikifa tumali twangu..wapewe watoto wahitaji.
Nizikwe katika uwanja wa nyumbani kwetu au hata makaburi ya chan'gombe.. sitaki kuzikwa kijijini kwa baba.. sitaki yanikute Kama yalivyo mkuta marehemu Mama yangu maiti yake ilivyosuswa kuzikwa na upande wa Mume wake.
Ahsante SanaPole sana, kwanini alisuswa?
You need a WILL Mkuu that diary note book is not sufficient enough to protect your assets for your loved ones. Hyenas will be there to steal from your family.
We need a WILL. I already have
Je, ungependa nini usifanyiwe siku ya kifo chako ? Don’t afraid brother, this is just a hard talk, because one day, it will be true
Kuridhiwa na Mola maanayake... Nife nikiwa. Mtu mwema...
Kuna watu wakifa... Watu wanacelebrate...kwa jinsi walivyokuwa waovu
Mimi nasema huwezi kumpangia mtu.Nimeshasema huruhusiwi ku quote verse yoyoye ya kitabu cha dini humu. Ukitaka kufanya hivyo nenda kafungue uzi wako. Hatuwezi kuzungukwa na kondoo
DadrekiiKwani kufa ni dhambi ? Hakika wewe Sio Muumini, ni Mental illness
how can you meet your lord bila KUFA ?
tatizo ni kwamba mnapitia mafundisho ya hovyo yanayoonesha kuishi miaka mingi ndio baraka za Mungu , na kifo ni kitu kama laana. That is the shame sababu huenda wanaokufa ndio best creatures , and you are here in hell . Muumini wa kweli hawezi kutamani au kuomba kuishi maisha mengi in this criminal world. The pioneers have already gone, the remaining are mental slaves like you who have been encrypted to believe death is for devil and bad . Ni matusi kwa Mungu wako .
Kama kweli ww ni muamin unatakiwa kuomba ufe ili ukamsifu bwana. You can’t separate death from God as you believe.
Yaani hii yote kwako ni Denial and for sure you will die no matter what!
Death and life are branches of the same tree.
Kula bata sasaMimi sihofii kufa...Nina hofu nitakufaje.
Engine failure?(means my body systems are down?)
By accident.
By Illness.
I wish nikufe Bila maumivu yeyote.
Lakini Nakuja kukumbuka siwezi kucontol hayo niliyoyatamani hapo juu.
Haijalishi Ni mara ngapi nitalalama Nitatamani ,
Ila nitafall kwenye Category moja wapo Tajwa hapo juu.
We all live once.