Siku ya Kifo Changu

Umeona eennhh?!!!,Jamaa asitupangie chakufanya baada ya kifo chake.
 
Mbona unachanganya mambo mengi sana!??? 1. God exists 2. Satan exists 3. Sin exists 4. Final punishment is real 5. Heaven is real

Hakuna kinachochanganywa. Pay attention.


Unaposema the final punishment is real , una ongea kwa uhakika snaa Mjomba , how did you reach to that conclusion ?
 
Tayari una dalili za kufa,

Kwanza unalalamika.
 
Kwa bajeti hiyo kwa kweli alafu umefia nje na mzigo upo asee tutakunywa tutalewa tutasheherekea kwa hela yako hiyo hiyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa JF mijadala inayoongoza ni vifo na maswala ya usalama wa Taifa.
 
Wanichome kama Wahindi nione siku ya mwisho nitarudije
Ukichomwa majivu yanatupwa wapi? Mavumbini. Kitu ni kilekile, mavumbini ulitoka, na mavumbini utarejea katika state yeyote utakayochagua. Hata kama umemezwa na mnyama porini, au samaki baharini, utaingia katika digestive process, utatoka kama kinyesi cha huyo mnyama, mavumbini utarejea. Na siku ya mwisho ardhi itatoa kila kiumbe kilicho ndani yake, including you uliyetupwa kama jivu (kwa wasio na imani hiyo twendeni jukwaa la historia)



Tunawe mikono kwa maji tiririka na sabuni, tuvae barakoa, tuepuke misongamano, tutumie vitakasa mikono.
 
Watu mko serious.
 

Aisee!

Tumetoka kwenye Hoja ya msingi rasmi ee?

Siwezi 'Kiinglish' lakini sijawahi kuongea cha aina yako.

Tufunge tu mjadala.
 
Kifo kinaogopesha sana, ukitaka kuua hata mende anakimbia Kwa mbio zake zote. Binadamu anakiogopa sana kifo na hata hakizoeleki. Lakini kuna tumaini yuko aliekishinda kifo ingawa hata yeye alipitia kipindi cha hofu na kigumu mpaka jasho la damu lilimtoka. Mtafute soma habari zake , hakika atakuonyesha njia ya kupita. Kwani maisha yote ya binadamu ni maandalizi ya safari moja tu.
 
Aisee!

Tumetoka kwenye Hoja ya msingi rasmi ee?

Siwezi 'Kiinglish' lakini sijawahi kuongea cha aina yako.

Tufunge tu mjadala.

For as long as wewe ni Mtanzania, I guarantee, you can not speak it and your English must be horrible.

you don’t have that tongue. If you think you are good at it, kindly, our chatting should be in English here. And let’s gauge each other, otherwise, you are just a piece of ass screaming all along!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…