Siku ya Kifo Changu

Siku ya Kifo Changu

Humjui????
Anae kupa pumzi??
Aliyekufanya umeamka leo??
Enewei ni MUNGU tu kupitia watu wake.
I think nimeeleweka.
Pumzi n'a pumua kwasababu ya ubongo, mapafu na moyo vina fanya hiyo kazi.. Nani Sasa amenipa pumzi
 
Wanadamu mtahangaika sana na kifo, na kifo hakitachoka kupitia mmoja baada ya mwingine kwa zamu zamu.

Dawa ya kifo ni moja tu kuacha kuzaliana, kwa nini uzae kwa nini ulete kiumbe ambacho mbali na kuketa usumbufu kwa viumbe wengine kitaishia kufa siku moja.

Dawa ni kuacha kuzaliana haya maamuzi yapaswa kuchukuliwa kwa pamoja, sababu kwa mtu mmoja haina maana kwani kifo kitaendelea kuvuna watoto wa walioamua kuzaaa
 
Kifo ni matokeo ya uasi wa mwanadamu
Rejea vitabu vitakatifu mfano mzuri ni Biblia
Soma Mwanzo sura ya pili yote then utapata majibu.
Kama kuna swali uliza.

Asante Mkuu kwa Ufafanuzi.

Kwahiyo Uasi ndio matokeo ya sis kufa ?

Je ni Uasi gani huo Mkuu ?
 
Soma maandiko matakatifu utapata uelewa
Mbona simple tu.

Mkuu unatakiwa kujibu hoja, that is how we can debate. Na ili Hii debate iwe poa , ni vema pia ukaipa akili yako room ya kuelewa mambo mengine.

Kwanza unaposema soma maandishi ya Biblia, atakuja Muislam atasema soma maandishi ya Quran, Myahudi atasema soma ya Torah.

So ili tuwe na common understanding, tukubali kwamba , kila unaposema Biblia this’ or that, ukubali huo sio ukweli bali ni projection ya imani yako, a Muslim guy or Jews would not say the same.

We have never been able to prove our faith beyond the reasonable doubts.

So Unaposema Biblia this or that maana yake unatufundisha imani yako , na tuna imani nyingi sana hapa duniani , each of which claims to be true.
Tunataka utoe majibu yakinifu—-Vipi kifo ni Matokeo ya dhambi na ni dhambi gani hiyo ?
 
Wanadamu mtahangaika sana na kifo, na kifo hakitachoka kupitia mmoja baada ya mwingine kwa zamu zamu.

Dawa ya kifo ni moja tu kuacha kuzaliana, kwa nini uzae kwa nini ulete kiumbe ambacho mbali na kuketa usumbufu kwa viumbe wengine kitaishia kufa siku moja.

Dawa ni kuacha kuzaliana haya maamuzi yapaswa kuchukuliwa kwa pamoja, sababu kwa mtu mmoja haina maana kwani kifo kitaendelea kuvuna watoto wa walioamua kuzaaa

I agree with you. Na naamini hii project ya depopulation will make sense. Kwa Sababu unazaa then end of the day unaanza kulia lia na kuumia.

Covid 19 was a mission, na mission gets closer to its conclusion.

Uwe Saint. Pope, prophet you name it , death is painful thing to accept.

Ni unafiki wetu binaadam tu, Mungu this Mungu that . Lakini hakuna anaetamani KIFO katika njia yoyote.

Kama ww you love God, na unaamini maisha ya huko ni bora zaid ya hapa, why don’t you die now? Why do we hate death while we know that death is the only way to go to heaven.

Kama unaogopa kifo huku ukijiona ww ni mtumishi wa Mungu , basi jua Wewe ni mamluki , ni njaa tu zinakusumbua na fear of unknown.

No one wants to die, even those who want to go to Heaven don’t’ wanna die to get there... what the hell ! Huu ni UNAFIKI WA ASILI
 
Asante Mkuu kwa Ufafanuzi.

Kwahiyo Uasi ndio matokeo ya sis kufa ?

Je ni Uasi gani huo Mkuu ?
Kwa mujibu wa BIBLIA TAKATIFU
Rejea kitabu cha mwanzo 3 yote na kuendelea utapata habari za uasi wa mwanadamu kwa Mungu.
Natumai nimeelweka mkuu.
 
Kwa mujibu wa BIBLIA TAKATIFU
Rejea kitabu cha mwanzo 3 yote na kuendelea utapata habari za uasi wa mwanadamu kwa Mungu.
Natumai nimeelweka mkuu.

Summarize hapa Kaka
 
Summarize hapa Kaka
Mwanzo 3:19
''kwa jasho la uso wako utakula chakula, hata utakapoirudia ardhi, ambayo katika hiyo ulitwaliwa; kwa maana u mavumbi wewe, nawe mavumbini utarudi''
 
None sense

None sense?????

Unazidi kunifurahisha😛

Tuna 'nonsense' kwenye 'Kiinglish'.

Hakuna neno la hivi none sense.

Endelea kufanya maonyesho ya 'Udjingah' wako tu.
 
None sense?????

Unazidi kunifurahisha😛

Tuna 'nonsense' kwenye 'Kiinglish'.

Hakuna neno la hivi none sense.

Endelea kufanya maonyesho ya 'Udjingah' wako tu.

Comment kwa kingereza hapa, wacha blah blah Mamluki. Ni rahisi sana Wewe ku comment in English kufunga mjadala . Wewe unajua English kitu ambacho siamini na ninaamini kabisa huna exposure , so nimekuomba mawasiliano yangu na wewe hapa yawe kwa English . I am sure huna hiyo Confidence.

Andika hapa kwa kingereza tujue level yako. Kumbuka wewe ni mtanzania,
 
Mwanzo 3:19
''kwa jasho la uso wako utakula chakula, hata utakapoirudia ardhi, ambayo katika hiyo ulitwaliwa; kwa maana u mavumbi wewe, nawe mavumbini utarudi''

So hiyo dhambi ipo wap
 
Comment kwa kingereza hapa, wacha blah blah Mamluki. Ni rahisi sana Wewe ku comment in English kufunga mjadala . Wewe unajua English kitu ambacho siamini na ninaamini kabisa huna exposure , so nimekuomba mawasiliano yangu na wewe hapa yawe kwa English . I am sure huna hiyo Confidence.

Andika hapa kwa kingereza tujue level yako. Kumbuka wewe ni mtanzania,
Kwa hiyo watanzania hawajui kingereza siyo

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
So hiyo dhambi ipo wap
Tuanzie hapa

''16 Bwana Mungu akamwagiza huyo mtu, akisema, Matunda ya kila mti wa bustani waweza kula, 17 walakini matunda ya mti wa ujuzi wa mema na mabaya usile, kwa maana siku utakapokula matunda ya mti huo utakufa hakika. ''

Tuje hapa

MLANGO 3

1 ''Basi nyoka alikuwa mwerevu kuliko wanyama wote wa mwitu aliowafanya Bwana Mungu. Akamwambia mwanamke, Ati! Hivi ndivyo alivyosema Mungu, Msile matunda ya miti yote ya bustani? 2 Mwanamke akamwambia nyoka, Matunda ya miti ya bustanini twaweza kula; 3 lakini matunda ya mti ulio katikati ya bustani Mungu amesema, Msiyale wala msiyaguse, msije mkafa. 4 Nyoka akamwambia mwanamke, Hakika hamtakufa, 5 kwa maana Mungu anajua ya kwamba siku mtakayokula matunda ya mti huo, mtafumbuliwa macho, nanyi mtakuwa kama Mungu, mkijua mema na mabaya.''

Tumalizie hapa

Vifungu hivi vinaonesha Adam na Hawa hawakumtii MUNGU.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom