I agree with you. Jinsi ambavo tunachinja wanyama na kuwapika, ni the same thing kwa mwili wa binaadamu.
Ukishakufa Una kuwa ni mzoga au mti mkavu. You don’t feel anything just a dead body. Ndio maana kuna sehemu Madagascar they eat dead body, they cook as meat and sauce for rice or ugali. They say kiti moto haingii ndani kwa utamu.
pia ignorance yetu kwenye Death , wahuni nao hawakuwa nyuma kututisha ili watutawale vyema.
Ooh ukifanya Hivi utachomwa moto , utaenda peponi au motoni. Huyo Mungu awachome watu kwa kosa gani , kwanza uhusiano wa muda wa kuishi Na kufa Na adhabu itakayokuja kutokewa haina USAWA.
Yaani small life,.... Big death. There is no such a GOD , it is our projection ambayo haina uhalisia . Imagine wewe unaingia peponi and your mom anaenda motoni , would you feel Happy , as for me I won’t be happy kuona mm nakula bata then wenzangu wanakula shubiri kwenye joto .
Kama kweli kwako utaona ni Okay kuona binadamu wenzio wanachomwa moto
Huku ww unakula bata , and that makes you feel okay , basi jua unamtumikia shetani ( kwa maana iliyozoeleka, maana hata shetani hatujui ni kitu gani) hapa duniani.
There is no such a God.
Kwanza historically hakuna mtu aliyeenda Na kurudi akatupa feedback, Jibu sahihi ni kwamba hakuna anayejua chochote kitu what will happen when we die. No pope, no saint , no any prophet.
We are all ignorants
Full stop