Fall Army Worm
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 19,371
- 14,481
??????If you say so ..
??????If you say so ..
Umeona eennhh?!!!,Jamaa asitupangie chakufanya baada ya kifo chake.Ninawashangaa sababu ukisha kufa hauna chako dunian tutakuzika tunavyotaka tuna imani na mila zetu kama waafrika.Pekee kinachotiliwa maanani ukifa ni mgawanyo wa Mali hasa kama umeandiaka WOSIA.Vinginevyo tunautafuna mpunga na vinywaji kedekede kama ulivyokula vya wenzako, nk
Kha!kha!,anajidanganya tu huyuUnaamua sasa, lakini ukienda maamuzi yanakuwa yetu. Kwani inakuhusu nini, kwamba tusipofanya kama ulivyosema unakereka, au!???
Mbona unachanganya mambo mengi sana!??? 1. God exists 2. Satan exists 3. Sin exists 4. Final punishment is real 5. Heaven is real
Tayari una dalili za kufa,Baada ya kuhudhuria mafunzo ya FBI na China-MSS, nilielewa kwamba binadamu yeyote mwenye AKILI kubwa ni lazima ailazimishe akili yake kukikubali KIFO.
-
Tukiwa na training team ya China MSS, swali la kwanza kuulizwa ni; " Do you fear death ? My honest answer, as we were taught never to lie, was Yes, I do.
-
Tulijibiwa kwamba How could that possibly be , you fear something that you never had any experience before? is there any person in all our recorded history ever experienced The Go and Return ? They asked
-
We don't know!, we replied.
-
Wakatuambia, ili mjifunze haya mliyojia and to serve the world as well as the state; you guys have to accept death as the matter of TRUTH. Pili, No one knows the TRUTH but we think we do. We live in myths and fantasies of the past just to secure our insecurities.
-
It is one of those days I came to realize that many people have been dying without living the life . Ni wachache sana wamefanikiwa kufunua BUSWATI na PAZIA ili kuona the glimpse of life. Kibaya zaidi haya mambo you can not be taught. Verily, you have to check it by yourself.
-
Curiosity never killed the Cat. THINK!
-
Siku ya KIFO Changu
1. Sitotaka mwili wangu kusafirishwa kupelekwa Kilimanjaro Unless nimefia NAMIBIA, kitu ambacho siamini hivo, siku zangu zikikaribia, for sure I will know, nitarejea nyumbani. Nitapenda kuzeekea Dar es salaam, mji ambao ninaupenda sana.
2. Nimefungua death account kila mwezi naweka dola 100 kwa ajili ya kugharamia maziko yangu, hata hivyo, nimetoa tahadhari maziko yawe ni ya gharama ndogo kabisa ikiwezekana yasizidi laki 3 za kitanzania. Pesa zitakazobaki isipelekwe kanisani wala msikitini, ipelekwe kwa binadamu wenye uhitahitaji wa chakula na Malazi, wagonjwa wa kansa ambao dawa zao ni ghali sana.
3. Siamini katika Matanga, and I totally discourage watu kunikalia Matanga, sijawahi kuona umuhimu wa hili zoezi, zaidi ninaona ni sehemu ya umbea na majungu ya kujadili mambo yasiyowahusu.
4. Ndani ya masaa saba tangu kuiaga dunia niwe nimeshafukiwa, asisubiriwe mtu yoyote kwa sababu haitobadili ukweli, kunichelewesha ni kufanya niendelee kuoza na Kutoa harufu. Sitaki mtu asikie harufu ya mwili wangu wa kuoza, na wala sitopenda kuwekwa dawa ya ku stop decaying process. ( Formaldehyde).
5. Kaburi langu lisijengewe wala kuandikwa jina.
6. Nisivikwe nguo yoyote zaidi ya kitambaa kitakachohifadhi tupu zangu.
7. Pombe na Ulevi haviruhusiwi kwenye maziko yangu. Wala sitotaka watu wavae nguo nyeusi. What the hell na nguo nyeusi. Watu wavae mavazi waliyoyazoea na ya kawaida
8. Sitopenda nyimbo zozote zipigwe wala mtu yeyote kuimba. It is the moment of silence to honor my existence
9. Haitoruhusiwa Kulia. Kwanini ulie? Kwani hukuwahi kujua kwamba tumezaliwa ili tufe, jiandae kwa sababu for sure Utakufa.
10. Ndugu yoyote hausiki kwenye Mali zangu kwa namna yoyote ile, mali zangu ni za watoto wangu na mke wangu tu, I have documented that on my diary, Bank accounts and legal issues.
-
Je, siku ukifa, ungependa vitu gani usifanyiwe kwenye maziko yako? na je ungependa ni nani awe mrithi wa mali zako?
Thank you and Rest In Peace to all the humans who have stepped into the truth of death. To all the humans who Have died due to Covid-19, and for those who continue dying due to COVID -19.
Chukua Tahadhari. Akili za kuambiwa, Changanya na zako.
Nakubaliana na hilo pia ila nikiwaza dah inahuzunisha sanaPole. It is the Naked truth . The good thing is you won’t feel any pain, the people you left will ....
Kwa bajeti hiyo kwa kweli alafu umefia nje na mzigo upo asee tutakunywa tutalewa tutasheherekea kwa hela yako hiyo hiyoBaada ya kuhudhuria mafunzo ya FBI na China-MSS, nilielewa kwamba binadamu yeyote mwenye AKILI kubwa ni lazima ailazimishe akili yake kukikubali KIFO.
-
Tukiwa na training team ya China MSS, swali la kwanza kuulizwa ni; " Do you fear death ? My honest answer, as we were taught never to lie, was Yes, I do.
-
Tulijibiwa kwamba How could that possibly be , you fear something that you never had any experience before? is there any person in all our recorded history ever experienced The Go and Return ? They asked
-
We don't know!, we replied.
-
Wakatuambia, ili mjifunze haya mliyojia and to serve the world as well as the state; you guys have to accept death as the matter of TRUTH. Pili, No one knows the TRUTH but we think we do. We live in myths and fantasies of the past just to secure our insecurities.
-
It is one of those days I came to realize that many people have been dying without living the life . Ni wachache sana wamefanikiwa kufunua BUSWATI na PAZIA ili kuona the glimpse of life. Kibaya zaidi haya mambo you can not be taught. Verily, you have to check it by yourself.
-
Curiosity never killed the Cat. THINK!
-
Siku ya KIFO Changu
1. Sitotaka mwili wangu kusafirishwa kupelekwa Kilimanjaro Unless nimefia NAMIBIA, kitu ambacho siamini hivo, siku zangu zikikaribia, for sure I will know, nitarejea nyumbani. Nitapenda kuzeekea Dar es salaam, mji ambao ninaupenda sana.
2. Nimefungua death account kila mwezi naweka dola 100 kwa ajili ya kugharamia maziko yangu, hata hivyo, nimetoa tahadhari maziko yawe ni ya gharama ndogo kabisa ikiwezekana yasizidi laki 3 za kitanzania. Pesa zitakazobaki isipelekwe kanisani wala msikitini, ipelekwe kwa binadamu wenye uhitahitaji wa chakula na Malazi, wagonjwa wa kansa ambao dawa zao ni ghali sana.
3. Siamini katika Matanga, and I totally discourage watu kunikalia Matanga, sijawahi kuona umuhimu wa hili zoezi, zaidi ninaona ni sehemu ya umbea na majungu ya kujadili mambo yasiyowahusu.
4. Ndani ya masaa saba tangu kuiaga dunia niwe nimeshafukiwa, asisubiriwe mtu yoyote kwa sababu haitobadili ukweli, kunichelewesha ni kufanya niendelee kuoza na Kutoa harufu. Sitaki mtu asikie harufu ya mwili wangu wa kuoza, na wala sitopenda kuwekwa dawa ya ku stop decaying process. ( Formaldehyde).
5. Kaburi langu lisijengewe wala kuandikwa jina.
6. Nisivikwe nguo yoyote zaidi ya kitambaa kitakachohifadhi tupu zangu.
7. Pombe na Ulevi haviruhusiwi kwenye maziko yangu. Wala sitotaka watu wavae nguo nyeusi. What the hell na nguo nyeusi. Watu wavae mavazi waliyoyazoea na ya kawaida
8. Sitopenda nyimbo zozote zipigwe wala mtu yeyote kuimba. It is the moment of silence to honor my existence
9. Haitoruhusiwa Kulia. Kwanini ulie? Kwani hukuwahi kujua kwamba tumezaliwa ili tufe, jiandae kwa sababu for sure Utakufa.
10. Ndugu yoyote hausiki kwenye Mali zangu kwa namna yoyote ile, mali zangu ni za watoto wangu na mke wangu tu, I have documented that on my diary, Bank accounts and legal issues.
-
Je, siku ukifa, ungependa vitu gani usifanyiwe kwenye maziko yako? na je ungependa ni nani awe mrithi wa mali zako?
Thank you and Rest In Peace to all the humans who have stepped into the truth of death. To all the humans who Have died due to Covid-19, and for those who continue dying due to COVID -19.
Chukua Tahadhari. Akili za kuambiwa, Changanya na zako.
Watu walivyo waoga wanaogopa hata kukomenti.
Kufa utakufa tu ndugu whether you like it or not!

Ukichomwa majivu yanatupwa wapi? Mavumbini. Kitu ni kilekile, mavumbini ulitoka, na mavumbini utarejea katika state yeyote utakayochagua. Hata kama umemezwa na mnyama porini, au samaki baharini, utaingia katika digestive process, utatoka kama kinyesi cha huyo mnyama, mavumbini utarejea. Na siku ya mwisho ardhi itatoa kila kiumbe kilicho ndani yake, including you uliyetupwa kama jivu (kwa wasio na imani hiyo twendeni jukwaa la historia)Wanichome kama Wahindi nione siku ya mwisho nitarudije
Watu mko serious.Ndugu zangu wote na marafiki zangu wote wanajua kuwa siku ya kufa kwangu nizikwe kwa kutumia kitanda ninacholalia na mke wangu. Fedha ya jeneza mnunulieni kitanda kipya na godoro. Wekeni pilo ya pili kando yangu ili akifa mfungue kaburi mmlaze tu hapo kando mrudishie mfuniko.
Kaburi natarajia kulichimba na kulijengea mwenyewe tiyari kwa maziko yangu
Sina English yenye tege. I am sure hujui kuzungumza Kiingereza for as long as wewe ni MTANZANIA na hauna Exposure ya kutoka nje ya TZ.
Kama kweli wewe sio Local guy, nataka mawasiliano yako na Mimi hapa yawe in ENGLISH TU, otherwise utaendelea kubaki kuwa typical bongoman kama Dalali.
for as long as wewe ni MTZ , utaendelea kubaki mkosoaji kama wakosoaji wengine, lakini Nina uhakika wa, huna English ya kuzungumza au kuchat na mimi. Kama unayo, prove it, right here right now
Aisee!
Tumetoka kwenye Hoja ya msingi rasmi ee?
Siwezi 'Kiinglish' lakini sijawahi kuongea cha aina yako.
Tufunge tu mjadala.