Siku ya Kifo Changu

Siku ya Kifo Changu

Kitu chenye maana una kipimaje ? Hivi hizi akili huwa mnazitumia kwenye nini ? Yaani unahitimisha ya kuwa maisha hayana maana kwa kifo wakati kifo ndiyo kinaonyesha maana halisi ya kifo.

Thank you, it makes sense. Death reveals the essence of our existence. It tells us who we truly are.

Kama mmoja wetu anajivunia kuwa yeye ni bora, basi asisahau pia kujivunia kuwa yeye ni chakula cha minyoo na mchwa.

Rest In Peace Benjamin William Mkapa, I still love you so much as intellectual being, the president of our time.

A Tanzanian President Remembers ..My life My Purpose.

Pole sana Ben !
 
Sijui kwanini nimefungua hii Thread.

You guys let's enjoy life 🥂

Acheni mambo ya kutishana hapa
 
Remmy Hongara - Kifo mp3

Orodhesha hapa wote walionja taste of death na uwape pole, na tujivunie vifo vyao for they have left the lesson behind... kama hujifunzj na kuuona ukweli na vifo vya watu wako wa karibu.... my fellow humans, you are in trouble.
The
Julius Nyerere... Pole sana Baba
Edward Sokoine.. Pole sana Eddy
Benjamin Mkapa ... Pole sana Ben
Imran Kombe...Pole sana Imu

...........
 
Hayo mliyo kuwa mnaelezwa kuhusu kifo kwa akili unaona hamkupaswa kuhoji ?

Pili, ama kuhusu bendera na kufata upepo,ulichokiandika hapa kimeonyesha ni kwa namna gani ulivyo kilaza ndiyo hata kuhoji uwezo hukuwa nao. Ni bendera ni bendera yoyote na upepo ni upepo wowote, yaani jambo la ujumla unaliza kwa jambo khasa ? Nyinyi wa kupigwa makofi kabisa kwa ujinga mlio nao.

NO
 
When i die, bury me inside the Gucci store.

When i die, bury me inside the Louis store.

Haya ni maneno yake mwenyewe 2 chain katika wimbo wake wa birthday song
Kachangia hata tofali mpaka wamzike humo au kaimba kujifurahisha tu.
 
nimeshindwa kwenda kumuosha mzee huko mortuary,nilichoweza ni kumtoa kwenye fridge basi,nimetoka nje nakutana na huu uzi. Kifo cha kisenge kinoma
Pole sana mkuu, mle ndani kama huna moyo mkuu waweza kimbia.
 
Baada ya kuhudhuria mafunzo ya FBI na China-MSS, nilielewa kwamba binadamu yeyote mwenye AKILI kubwa ni lazima ailazimishe akili yake kukikubali KIFO.
-
Tukiwa na training team ya China MSS, swali la kwanza kuulizwa ni; " Do you fear death ? My honest answer, as we were taught never to lie, was Yes, I do.
-
Tulijibiwa kwamba How could that possibly be , you fear something that you never had any experience before? is there any person in all our recorded history ever experienced The Go and Return ? They asked
-
We don't know!, we replied.
-
Wakatuambia, ili mjifunze haya mliyojia and to serve the world as well as the state; you guys have to accept death as the matter of TRUTH. Pili, No one knows the TRUTH but we think we do. We live in myths and fantasies of the past just to secure our insecurities.
-
It is one of those days I came to realize that many people have been dying without living the life . Ni wachache sana wamefanikiwa kufunua BUSWATI na PAZIA ili kuona the glimpse of life. Kibaya zaidi haya mambo you can not be taught. Verily, you have to check it by yourself.
-
Curiosity never killed the Cat. THINK!
-
Siku ya KIFO Changu

1. Sitotaka mwili wangu kusafirishwa kupelekwa Kilimanjaro Unless nimefia NAMIBIA, kitu ambacho siamini hivo, siku zangu zikikaribia, for sure I will know, nitarejea nyumbani. Nitapenda kuzeekea Dar es salaam, mji ambao ninaupenda sana.

2. Nimefungua death account kila mwezi naweka dola 100 kwa ajili ya kugharamia maziko yangu, hata hivyo, nimetoa tahadhari maziko yawe ni ya gharama ndogo kabisa ikiwezekana yasizidi laki 3 za kitanzania. Pesa zitakazobaki isipelekwe kanisani wala msikitini, ipelekwe kwa binadamu wenye uhitahitaji wa chakula na Malazi, wagonjwa wa kansa ambao dawa zao ni ghali sana.

3. Siamini katika Matanga, and I totally discourage watu kunikalia Matanga, sijawahi kuona umuhimu wa hili zoezi, zaidi ninaona ni sehemu ya umbea na majungu ya kujadili mambo yasiyowahusu.

4. Ndani ya masaa saba tangu kuiaga dunia niwe nimeshafukiwa, asisubiriwe mtu yoyote kwa sababu haitobadili ukweli, kunichelewesha ni kufanya niendelee kuoza na Kutoa harufu. Sitaki mtu asikie harufu ya mwili wangu wa kuoza, na wala sitopenda kuwekwa dawa ya ku stop decaying process. ( Formaldehyde).

5. Kaburi langu lisijengewe wala kuandikwa jina.

6. Nisivikwe nguo yoyote zaidi ya kitambaa kitakachohifadhi tupu zangu.

7. Pombe na Ulevi haviruhusiwi kwenye maziko yangu. Wala sitotaka watu wavae nguo nyeusi. What the hell na nguo nyeusi. Watu wavae mavazi waliyoyazoea na yakawaida

8. Sitopenda nyimbo zozote zipigwe wala mtu yeyote kuimba. It is the moment of silence to honor my existence

9. Haitoruhusiwa Kulia. Kwanini ulie? Kwani hukuwahi kujua kwamba tumezaliwa ili tufe, jiandae kwa sababu for sure Utakufa.

10. Ndugu yoyote hausiki kwenye Mali zangu kwa namna yoyote ile , mali zangu ni za watoto wangu na mke wangu tu , I have documented that on my diary, Bank accounts and legal issues.
-

Je, siku ukifa, ungependa vitu gani usifanyiwe kwenye maziko yako? na je ungependa ni nani awe mrithi wa mali zako?

Thank you and Rest In Peace to all the humans who have stepped into the truth of death. To all the humans who Have died due to Covid-19, and for those who continue dying due to COVID -19.

Chukua Tahadhari. Akili za kuambiwa, Changanya na zako.
Usipige kelele kaa kwa kutulia kifo kipo na wote tutakufa
 
Mambo matatu tu
1. ikiwa nitakufa alfajiri basi nizikwe saa saba mchana, maiti yangu isimalize masaa 24 bila kuzikwa
2.Asisubiriwe yoyote kwenye mazishi yangu
3.Nisizikwe na jeneza wala kitu chochote Cha thamani nizikwe na sanda tu.
 
Mm kwa kwel wasi nifukie na mchangaa. maana unaweza stuka una ndan( barried alive)
 
Back
Top Bottom