Siku ya Kifo Changu

Kitu chenye maana una kipimaje ? Hivi hizi akili huwa mnazitumia kwenye nini ? Yaani unahitimisha ya kuwa maisha hayana maana kwa kifo wakati kifo ndiyo kinaonyesha maana halisi ya kifo.

Thank you, it makes sense. Death reveals the essence of our existence. It tells us who we truly are.

Kama mmoja wetu anajivunia kuwa yeye ni bora, basi asisahau pia kujivunia kuwa yeye ni chakula cha minyoo na mchwa.

Rest In Peace Benjamin William Mkapa, I still love you so much as intellectual being, the president of our time.

A Tanzanian President Remembers ..My life My Purpose.

Pole sana Ben !
 
Sijui kwanini nimefungua hii Thread.

You guys let's enjoy life 🥂

Acheni mambo ya kutishana hapa
 
Remmy Hongara - Kifo mp3

Orodhesha hapa wote walionja taste of death na uwape pole, na tujivunie vifo vyao for they have left the lesson behind... kama hujifunzj na kuuona ukweli na vifo vya watu wako wa karibu.... my fellow humans, you are in trouble.
The
Julius Nyerere... Pole sana Baba
Edward Sokoine.. Pole sana Eddy
Benjamin Mkapa ... Pole sana Ben
Imran Kombe...Pole sana Imu

...........
 
Sijui kwanini nimefungua hii Thread.

You guys let's enjoy life


Acheni mambo ya kutishana hapa

Pole Dear, Siku zote ukweli hauna sura nzuri.
 

NO
 
When i die, bury me inside the Gucci store.

When i die, bury me inside the Louis store.

Haya ni maneno yake mwenyewe 2 chain katika wimbo wake wa birthday song
Kachangia hata tofali mpaka wamzike humo au kaimba kujifurahisha tu.
 
nimeshindwa kwenda kumuosha mzee huko mortuary,nilichoweza ni kumtoa kwenye fridge basi,nimetoka nje nakutana na huu uzi. Kifo cha kisenge kinoma
Pole sana mkuu, mle ndani kama huna moyo mkuu waweza kimbia.
 
Usipige kelele kaa kwa kutulia kifo kipo na wote tutakufa
 
Mambo matatu tu
1. ikiwa nitakufa alfajiri basi nizikwe saa saba mchana, maiti yangu isimalize masaa 24 bila kuzikwa
2.Asisubiriwe yoyote kwenye mazishi yangu
3.Nisizikwe na jeneza wala kitu chochote Cha thamani nizikwe na sanda tu.
 
Mm kwa kwel wasi nifukie na mchangaa. maana unaweza stuka una ndan( barried alive)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…