Siku Tundu Lissu atakapokuwa rais

Siku Tundu Lissu atakapokuwa rais

Vp yule wazir ashaonana na anko t

Ova
hawa watakutana tu hata korokoroni kabla ya kitanzi.
this is family gentleman 🐒
 
Attachments

  • 550D3528-9DFB-430A-8BD8-CFEB53C06683.jpeg
    550D3528-9DFB-430A-8BD8-CFEB53C06683.jpeg
    218 KB · Views: 2
Maneno ya Biblia takatifu yanatuasa tulinde vinywa vyetu kuliko kitu kingine kile...

Maana yake ni kwamba maneno ni kama risasi hayana rivasi.. Ni vema sana kuwa na tafakuri kuu kabla ya kutamka lolote

Matamshi ya Kingai leo kwa Lissu yamebeba mwangwi mkubwa na kuna siku yatamrudia maana maisha hayana formulaView attachment 3673498
Ipo siku itatimia.
 
Watu wakishangilia kanda la ccm limekufa utasikia tume na roho ya utu mara tulinde tamaduni za kitanzania lakn leo jitu limesema litafulahi endapo lisu atakutwa na hatia hakuna aliyesema hiyo roho ya utu
 
Maneno ya Biblia takatifu yanatuasa tulinde vinywa vyetu kuliko kitu kingine kile...

Maana yake ni kwamba maneno ni kama risasi hayana rivasi.. Ni vema sana kuwa na tafakuri kuu kabla ya kutamka lolote

Matamshi ya Kingai leo kwa Lissu yamebeba mwangwi mkubwa na kuna siku yatamrudia maana maisha hayana formulaView attachment 3673498
We unafikiri kuwa Rais ni simple tu kama mashabiki wa simba walivyokunya jangwani miaka ndyo inaenda mtakuja kushtuka kawa babu
 
Maneno ya Biblia takatifu yanatuasa tulinde vinywa vyetu kuliko kitu kingine kile...

Maana yake ni kwamba maneno ni kama risasi hayana rivasi.. Ni vema sana kuwa na tafakuri kuu kabla ya kutamka lolote

Matamshi ya Kingai leo kwa Lissu yamebeba mwangwi mkubwa na kuna siku yatamrudia maana maisha hayana formulaView attachment 3673498
Urais wa nchi siyo km hizo hadithi zako za kufikirika na mambo ya uchawi uchawi! Labda awe rais wa nyumbu
 
Back
Top Bottom