Siku Tundu Lissu atakapokuwa rais

Siku Tundu Lissu atakapokuwa rais

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
375,546
Reaction score
870,109
Maneno ya Biblia takatifu yanatuasa tulinde vinywa vyetu kuliko kitu kingine kile...

Maana yake ni kwamba maneno ni kama risasi hayana rivasi.. Ni vema sana kuwa na tafakuri kuu kabla ya kutamka lolote

Matamshi ya Kingai leo kwa Lissu yamebeba mwangwi mkubwa na kuna siku yatamrudia maana maisha hayana formula
1789739077179.jpg
 
Maneno ya Biblia takatifu yanatuasa tulinde vinywa vyetu kuliko kitu kingine kile...

Maana yake ni kwamba maneno ni kama risasi hayana rivasi.. Ni vema sana kuwa na tafakuri kuu kabla ya kutamka lolote

Matamshi ya Kingai leo kwa Lissu yamebeba mwangwi mkubwa na kuna siku yatamrudia maana maisha hayana formulaView attachment 3673498
labda Rais wa jamii ile ya jinsia moja kule EU 🐒
 
Hatutegemei mtu aliyejipambanua kama mpenda haki awe kiongozi wa mihemko, mwenye jazba na visasi. Akiongoza kwa style hiyo atakuwa hana tofauti na haya majizi ya sasa.
 
Maneno ya Biblia takatifu yanatuasa tulinde vinywa vyetu kuliko kitu kingine kile...

Maana yake ni kwamba maneno ni kama risasi hayana rivasi.. Ni vema sana kuwa na tafakuri kuu kabla ya kutamka lolote

Matamshi ya Kingai leo kwa Lissu yamebeba mwangwi mkubwa na kuna siku yatamrudia maana maisha hayana formulaView attachment 3673498
Mtani karma is abitch
 
Kuna mambo usiyotarajia yanaweza kutokea tuu unadhani asikari wakaweka silaha chini nini kitatokea
kwamba mimi naweza kubabaika na porojo au hizo ramli zako useless jukwaani gentleman?🐒
 
Back
Top Bottom