Siku Tundu Lissu atakapokuwa rais

Siku Tundu Lissu atakapokuwa rais

Maneno ya Biblia takatifu yanatuasa tulinde vinywa vyetu kuliko kitu kingine kile...

Maana yake ni kwamba maneno ni kama risasi hayana rivasi.. Ni vema sana kuwa na tafakuri kuu kabla ya kutamka lolote

Matamshi ya Kingai leo kwa Lissu yamebeba mwangwi mkubwa na kuna siku yatamrudia maana maisha hayana formulaView attachment 3673498
Atavuna anachopanda
 
Wala hatokuwa na visasi ila wale wote waliomfanyia husda
Hatutegemei mtu aliyejipambanua kama mpenda haki awe kiongozi wa mihemko, mwenye jazba na visasi. Akiongoza kwa style hiyo atakuwa hana tofauti na haya majizi ya sasa.
Watakimbia wenyewe bila kufanyiwa chochote ila kwa hofu
 
Kweli Mkuu,kuna kipindi mpumbavu akipata mafanikio ndio anakuwa mpumbavu zaidi.
Waite hata kwa kazima wasome hii
"Definition of Stupid: Knowing the truth, seeing the truth, but still believing the lies.
🤡🎯"
 
Back
Top Bottom