Siku PM zikiongea

Siku PM zikiongea

hivi kwanza Dodoma walikubakiza kweli, nahisi kama vile kuna vifaa vitakuwa hazifanyi kazi kwa sasa hadi uende service.
Change tu hata filter na shock up

Khaaa! Kumbe leo asubuhi nilipokodi ndege kwenda Mpwapwa lilikuwa limbwata tayari...
 
Ole wako nikija kufanya ukaguzi nikute zangu.Nakuretea riafande rikufunze adabu.

Za kawaida tu riafande hariji mpaka uriambie kuna zinazohusu maandano ya chadema. Hapo ritatafuta na wengine wawiri!
 
hivi kwanza Dodoma walikubakiza kweli, nahisi kama vile kuna vifaa vitakuwa hazifanyi kazi kwa sasa hadi uende service.
Change tu hata filter na shock up
Hahaha...Shock up ziko safi, Oil Filter iko safii, Engine Oil iko poaaa...
 
based ona imagination.

Siku PM za watu wote zikiwekwa wazi itakuwaje?
Ni pm za akina nani utataka kuzipitia kwaza, top 3
na unadhani nani hatapenda kabisa hiyo idea?

Mie ntapenda kuona za washawasha, bujibuji na rejao, nahisi ntacheka sana.
Lol...Mimi option ya PM nimeidisable kabisa..itabidi niirudishe ili niwe nakupm!
 
Ni nzuri sana sana ni kama vile kugeuza usiku kuwa mchana kwa masaa machache😛oa
 
Mimi napenda sana hiyo idea. . . naweza nikaanza kwa kukupa access ya zangu.

Kwani nini cha ajabu kinaongelewa PM zaidi ya story za hapa na pale na kutongozana kwa uongo na kweli?

Hahahahahahaha.....................hilarious! naona kwa anaglizo hili zako nafaa kuanza nazo!:lol:
 
Usijali, ntakupeleka kwa mganga anayetibu wasiojibu PM.
Mie kuna mtu fulani alikuwa hajibu, weee kwenda kwa mganga tu sasa hivi anaandika PM hadi namkataza maana atapasua mchina wangu

Lakini kondoo wenyewe wajeuri, kama huyu kondoo husninyo hajibu kabisa yaani
 
Back
Top Bottom