Siku PM zikiongea

Siku PM zikiongea

Piga Mayowe
Hahaha! Atajaza watu mwenzio.


Mi naomba unisikilizishe za yule mdada aliyekuzimikia ukamchunia, nataka nizicopy na kupaste kuna memba nimemzimikia sina mistari ya kumwimbia..
 
Mimi nimeziweka kwenye fail humu humu lakini nimeliwekea password. Vile vile nimehifadhi kopi kwenye usb, just in case. Nyengine nimechapisha kwa herufi kubwa na kupachika pembeni ya kitanda, na mbili tatu ninatembea nazo mfukoni kama hirizi - lol!
 
Back
Top Bottom