Siku niliyoacha kulala kwenye nyumba za wanawake

Siku niliyoacha kulala kwenye nyumba za wanawake

Omba Mungu Yasikukute
Tuendelee Mkuu Kuyasikia
Uliingia Kwenye Tatu Ya Goalkeeper
Mambo Kiringo
 
Hahahaaaa wake wa wasoja hawa hawakawii wanaume zao kukupeleka jando ya pili kwa kutumia msumeno kisha wakakuambia si hiki kibabu G ndicho kinachokupa jeuri, sasa tunakufanyia operation kwa kukikata chote kisha uendelee kugegeda
 
Mkuu na ww ni boya sana aiseeh yaani unaingia chumba anacholala mwanaume mwingine unashindwa kugundua..
Kwamba huyo mme wake akienda kazini anaenda na viatu vyake vyote na nguo zake zote za kiume.

Au hukuona vitu ndani viko kwa pair pair??

Siku nyingine utapigwa collabo badi na panya
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom