Katika maisha ya mapenzi kuachwa ni jambo la kawaida japo lisilozoeleka, halina mzoefu, kuona umeachwa halafu mwanamke huyo akachukuliwa na mwanaume mwingine, ukipiga picha kinachoendelea wakiwa kitandani, inaumiza sana. Nimekuwa na bahati mbaya ya kuachwa kila wakati, katika kuachwa kote huyu dada sitamsahau kamwe:
...... nilidhani unajua mapenzi, kumbe kitandani hakuna unachokijua, hujanirdhisha kabisa. Nikadhani atanipatia nafasi nyingine niboreshe zaidi, kumbe ndo kaniacha.
Wewe uliachwa kwa maneno gani??????
Pole sana ndugu ulikua ushachokwa aseee, au kweli wewe kitandani hakuna kitu??? Ukute maneno meengi matendo sifuri, ila c ushapata mwingine alieona unafanya vzur kitandani?? JEKI
Na nyie mnasubiriaga nini mpaka muachwe hata nyakati mnashindwa kusoma?
hAHAHAHAAAA HAPA NDIO PA KUSHINDA HAPA HUKO KWENYE SIASA MMMHHHHH
mi sikumbuki kuachwa bhana na hao niliowaaacha tuliachana kwa amani sana japo .......
Hahaha ukiona tu mambp ndivyo sivyo unakata mawasiliano. Anabaki yeye kujishangaa umestuki nini.
Mjini mahesabu banaa
"Princeple" ukipendwa kua tayari kuachwa na ukipenda kua tayari kuacha