Siku nilipolazimika kutumia silaha

Siku nilipolazimika kutumia silaha

Mkuu story nzuri sana hii, mwaka huu mwez wa 4 Latifa alikua kwenye foolish age lakin saiv tayar mmechukua ng'ombe, dah mungu anawaona
Yaah kwangu mimi miaka 18 ni Sawa na foolish age mkuu, so kijijini ni binti wa kuolewa kbsa ila uhalisia ni kwamba bdo hajitambui vzr
 
Duh itabidi niombe list ya ndugu kwa mzee dingi nianze kutembelea ndugu vijijini

Vijiji vingi unakuta kila mji kuna kuku kadhaa, maana kuku wa kienyeji wanajifuga wenyewe na hakuna mishe za wizi, kwa hiyo akifika mgeni wa heshima kuku lazima atembee.

Sisi tukiwa wadogo ilikuwa kama kuna mgeni kaja na hatujala nyama muda mrefu tunaforce king, unakuta tunamuuliza maza mbele ya mgeni, "Mama tukamate kuku". Hapo mama anakuwa hana ujanja, ila mgeni akiondoka mtaimba kwa fimbo.

Ila kuna wageni hata huulizi, maana unakuta naye kaja na mzigo kama wa mahindi, vitunguu, au chochote tu, bush hakuna uchoyo wa misosi, labda miaka hii.
 
Duh sisi vijana wa dijitali tutakuwa tumekosa mambo mengi mazuri sana
 
Vijiji vingi unakuta kila mji kuna kuku kadhaa, maana kuku wa kienyeji wanajifuga wenyewe na hakuna mishe za wizi, kwa hiyo akifika mgeni wa heshima kuku lazima atembee.

Sisi tukiwa wadogo ilikuwa kama kuna mgeni kaja na hatujala nyama muda mrefu tunaforce king, unakuta tunamuuliza maza mbele ya mgeni, "Mama tukamate kuku". Hapo mama anakuwa hana ujanja, ila mgeni akiondoka mtaimba kwa fimbo.

Ila kuna wageni hata huulizi, maana unakuta naye kaja na mzigo kama wa mahindi, vitunguu, au chochote tu, bush hakuna uchoyo wa misosi, labda miaka hii.
Ni kweli mkuu kijijini cyo kama mjini hta ule unyenyekevu kwa wageni bdo upo sana tofauti na mjini,
 
Hpna zipo ili tuzitii mkuu
Wote tukitii sheria kama taifa tutapata hasara kwa maana majengo yote ya magereza yatageuka makazi ya panya, polisi watakosa ajira the same na idara ya mahakama.
 
Mkuu mabinti hawajakucheka kwa "banzi la kisawasawa ulilopigwa"?
Mkuu lile banzi ningeng'oka jino sbbu nilihisi kizungu zungu na giza nilipepesuka kwa kweli, nilitaka niifate ilipo moja kwa moja lkn nikasema nivute subira, kilichonionyesha kua hawa watu wamekamilika ni panga
 
Wote tukitii sheria kama taifa tutapata hasara kwa maana majengo yote ya magereza yatageuka makazi ya panya, polisi watakosa ajira the same na idara ya mahakama.
Mkuu mimi bdo napapenda uraiani pmja na uhuru nilionao
 
Mkuu lile banzi ningeng'oka jino sbbu nilihisi kizungu zungu na giza nilipepesuka kwa kweli, nilitaka niifate ilipo moja kwa moja lkn nikasema nivute subira, kilichonionyesha kua hawa watu wamekamilika ni panga
Nimecheka sana.nadhani hata mabinti walikua wanakucheka kisirisiri.pole sana mkuu
 
Hawakupata huo wasaa wa kucheka mkuu sbbu wale vijana naona walikuja na lengo la wanipige wawachukue kwa nguvu wakawapige mtungo, lbda walicheka cku zilizofuata
 
Back
Top Bottom