Naby Keita
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 12,891
- 20,135
Naomba namba ya Latifa
Ulifanya sahihi. Ila ungemlamba mmoja ya kwenye makalio. Siyo kwa nia ya kumuuwa, next time hakikisha tu unalenga amba ruti baasiWakuu kama kichwa cha hbri inavyosema hpo juu mwezi wa nne mwaka huu nilienda kijijini, kwa maana ya kumtembelea mama yangu mkubwa kwa lengo la kula sikukuu ya pasaka, nilifika mida ya jioni ya saa kumi na moja mama yangu alinipokea kwa bashasha kama mwanae, pmja na watoto wake kwa maana ya wadogo zangu kiujumla walinipokea vzr sana, akanitambulisha kwa wadogo zangu wale ambao niliwaacha wakiwa wadogo kbsa, sbbu ni miaka mingi nilikua sijawai kwenda uko kijijini kwake, nikachinjiwa kuku kama mgeni muhimu sana, ikafika mda wa kwenda kanisani ucku namaanisha Ibada ya mkesha wa pasaka, nikaongozana na wadogo zangu wa kike wawili kwa mguu, sbbu njia ilikua mbaya haipitiki kwa gari kwa maelezo ya wenyeji wangu, kanisa lipo mbali na pale nyumbani kama kilomita mbili na kitu, wakati nimeongozana na wale wadogo zangu wa kike, ghafla nikazingirwa na vijana kama wa3 nikamulikwa tochi usoni nikawauliza wale vijana nini madhumuni yenu? Nikajibiwa na banzi sijapata kuona! Mmoja wa wale vijana akasema Leo Latifa (cyo jina lake halisi) tunataka hela zetu malaya mkubwa, anaambiwa mmoja wa wale wadogo zangu, nikamshika kijana moja nikampa kichwa, ghafla akatoa panga nikaona nachelewa wataniua hawa, nilichokifanya ni kuichomoa Glock nilipiga risasi mbili hewani kwa mfululizo, nilijikuta nimebaki peke yangu, wakakimbia wale vijana. pmja na wadogo zangu wale nao walikimbia na kutokomea kbsa. Nikaanza kurudi nyumbani na ugeni ule dah! Nilipata wakati mgumu sana mpka kufika nyumbani, kulipokucha nikaenda polisi kutoa taarifa na kuandika maelezo, ilinibidi nifupishe ugeni pale nikarudi kwetu, wanajamvi hichi ni kisa cha kweli nimeona nishee na nyie, ila kama hataamini mtu pia cyo lzma, nipo tayari kukosolewa, karibuni tushee
umesema?Huko vzr mkuu
Aliamua kuacha utapeliLatifa saiv ameolewa majuzi2 mkuu tumechukua Ng'ombe
Haha unamkumbushiaga hii stori??Yule mdogo wangu mwingne aliniambia kua kaka wale vijana mmoja wao ni mpenzi wa Latifa nimemjua
Niliwakuta home sbbu mimi ilinichukua mda sana kufika sbbu ya ugeni na giza
Hivi kila anaetoka mjini kwenda kusalimia kijijini ni lazima achinjiwe kuku?
Duh itabidi niombe list ya ndugu kwa mzee dingi nianze kutembelea ndugu vijijiniTena unaweza jikuta kila mji unaoenda kusalimia wanakamata kuku wachinje, kwa siku unaweza kula kuku hata 3 kutegemea na heshima wanayokupa.