Wewe ni wale vijana wa hapa kazi tu?Mkuu nikodishe hiyo mashine ntakuwa naleta hesabu kwa mwezi
Nadhani unasema ukweli kwani sioni loopholes nyingi ninazoziona kwenye story za uongo hapa. Ulifanya vizuri sana kupiga kwanza risasi juu. Ila kama wangakaidi ingebidi uwalenge. Na mimi nikupe kisa kimoja cha kweli kilichowahi kutokea miaka ya nyuma karibu na maeneo ya Tangibovu Dar. Kwenye muda wa saa tano usiku jamaa mmoja alivamiwa nyumbani kwake. Kwa bahati nzuri akapiga mayowe na majirani wakatoka. Katika hao majirani alikuwepo mwanajeshi mmoja na alikuwa na handgun. Akanyelea bila woga akamkuta mmoja ya wale wezi amebana kwenye michongoma inayozunguka ile nyumba. Alipomwona akamwamuru ''jisalimishe weka mikono juu''. Kumbe kwa bahati mbaya sana yule mwizi nae alikuwa na silaha ya moto akawahi kumpiga na kufariki pale pale. Nikirudi kwenye kisa chako... Dar inatakiwa uwe makini sana kusoma mazingira na adui yako kwani unaweza kupiga juu kumbe mwenzako iko chemba na akakuwahi.Wakuu kama kichwa cha hbri inavyosema hpo juu mwezi wa nne mwaka huu nilienda kijijini, kwa maana ya kumtembelea mama yangu mkubwa kwa lengo la kula sikukuu ya pasaka, nilifika mida ya jioni ya saa kumi na moja mama yangu alinipokea kwa bashasha kama mwanae, pmja na watoto wake kwa maana ya wadogo zangu kiujumla walinipokea vzr sana, akanitambulisha kwa wadogo zangu wale ambao niliwaacha wakiwa wadogo kbsa, sbbu ni miaka mingi nilikua sijawai kwenda uko kijijini kwake, nikachinjiwa kuku kama mgeni muhimu sana, ikafika mda wa kwenda kanisani ucku namaanisha Ibada ya mkesha wa pasaka, nikaongozana na wadogo zangu wa kike wawili kwa mguu, sbbu njia ilikua mbaya haipitiki kwa gari kwa maelezo ya wenyeji wangu, kanisa lipo mbali na pale nyumbani kama kilomita mbili na kitu, wakati nimeongozana na wale wadogo zangu wa kike, ghafla nikazingirwa na vijana kama wa3 nikamulikwa tochi usoni nikawauliza wale vijana nini madhumuni yenu? Nikajibiwa na banzi sijapata kuona! Mmoja wa wale vijana akasema Leo Latifa (cyo jina lake halisi) tunataka hela zetu malaya mkubwa, anaambiwa mmoja wa wale wadogo zangu, nikamshika kijana moja nikampa kichwa, ghafla akatoa panga nikaona nachelewa wataniua hawa, nilichokifanya ni kuichomoa Glock nilipiga risasi mbili hewani kwa mfululizo, nilijikuta nimebaki peke yangu, wakakimbia wale vijana. pmja na wadogo zangu wale nao walikimbia na kutokomea kbsa. Nikaanza kurudi nyumbani na ugeni ule dah! Nilipata wakati mgumu sana mpka kufika nyumbani, kulipokucha nikaenda polisi kutoa taarifa na kuandika maelezo, ilinibidi nifupishe ugeni pale nikarudi kwetu, wanajamvi hichi ni kisa cha kweli nimeona nishee na nyie, ila kama hataamini mtu pia cyo lzma, nipo tayari kukosolewa, karibuni tushee
Wakuu kama kichwa cha hbri inavyosema hpo juu mwezi wa nne mwaka huu nilienda kijijini, kwa maana ya kumtembelea mama yangu mkubwa kwa lengo la kula sikukuu ya pasaka, nilifika mida ya jioni ya saa kumi na moja mama yangu alinipokea kwa bashasha kama mwanae, pmja na watoto wake kwa maana ya wadogo zangu kiujumla walinipokea vzr sana, akanitambulisha kwa wadogo zangu wale ambao niliwaacha wakiwa wadogo kbsa, sbbu ni miaka mingi nilikua sijawai kwenda uko kijijini kwake, nikachinjiwa kuku kama mgeni muhimu sana, ikafika mda wa kwenda kanisani ucku namaanisha Ibada ya mkesha wa pasaka, nikaongozana na wadogo zangu wa kike wawili kwa mguu, sbbu njia ilikua mbaya haipitiki kwa gari kwa maelezo ya wenyeji wangu, kanisa lipo mbali na pale nyumbani kama kilomita mbili na kitu, wakati nimeongozana na wale wadogo zangu wa kike, ghafla nikazingirwa na vijana kama wa3 nikamulikwa tochi usoni nikawauliza wale vijana nini madhumuni yenu? Nikajibiwa na banzi sijapata kuona! Mmoja wa wale vijana akasema Leo Latifa (cyo jina lake halisi) tunataka hela zetu malaya mkubwa, anaambiwa mmoja wa wale wadogo zangu, nikamshika kijana moja nikampa kichwa, ghafla akatoa panga nikaona nachelewa wataniua hawa, nilichokifanya ni kuichomoa Glock nilipiga risasi mbili hewani kwa mfululizo, nilijikuta nimebaki peke yangu, wakakimbia wale vijana. pmja na wadogo zangu wale nao walikimbia na kutokomea kbsa. Nikaanza kurudi nyumbani na ugeni ule dah! Nilipata wakati mgumu sana mpka kufika nyumbani, kulipokucha nikaenda polisi kutoa taarifa na kuandika maelezo, ilinibidi nifupishe ugeni pale nikarudi kwetu, wanajamvi hichi ni kisa cha kweli nimeona nishee na nyie, ila kama hataamini mtu pia cyo lzma, nipo tayari kukosolewa, karibuni tushee
Hkna sehem nimeandika kua lazima uamini mkuu, kwa mazingira yale niliokuepo ilinilazimu kuchukua tahadhari sbbu ucku na giza la kijijiniNina silaha zaidi ya miaka 7 sijawahi nenda nayo ibada...yaweza kuwa kweli ila siamini hii hadithi yako maana unalazimisha tukuamini
Amesema alikuwa anaenda mkesha wa pasakaUnaenda kanisani halafu unamulikwa tochi njiani....huko kijijini wanasali usiku.?
Sawa boss, ilikuwa Gloc 17 ama?Wakuu kama kichwa cha hbri inavyosema hpo juu mwezi wa nne mwaka huu nilienda kijijini, kwa maana ya kumtembelea mama yangu mkubwa kwa lengo la kula sikukuu ya pasaka, nilifika mida ya jioni ya saa kumi na moja mama yangu alinipokea kwa bashasha kama mwanae, pmja na watoto wake kwa maana ya wadogo zangu kiujumla walinipokea vzr sana, akanitambulisha kwa wadogo zangu wale ambao niliwaacha wakiwa wadogo kbsa, sbbu ni miaka mingi nilikua sijawai kwenda uko kijijini kwake, nikachinjiwa kuku kama mgeni muhimu sana, ikafika mda wa kwenda kanisani ucku namaanisha Ibada ya mkesha wa pasaka, nikaongozana na wadogo zangu wa kike wawili kwa mguu, sbbu njia ilikua mbaya haipitiki kwa gari kwa maelezo ya wenyeji wangu, kanisa lipo mbali na pale nyumbani kama kilomita mbili na kitu, wakati nimeongozana na wale wadogo zangu wa kike, ghafla nikazingirwa na vijana kama wa3 nikamulikwa tochi usoni nikawauliza wale vijana nini madhumuni yenu? Nikajibiwa na banzi sijapata kuona! Mmoja wa wale vijana akasema Leo Latifa (cyo jina lake halisi) tunataka hela zetu malaya mkubwa, anaambiwa mmoja wa wale wadogo zangu, nikamshika kijana moja nikampa kichwa, ghafla akatoa panga nikaona nachelewa wataniua hawa, nilichokifanya ni kuichomoa Glock nilipiga risasi mbili hewani kwa mfululizo, nilijikuta nimebaki peke yangu, wakakimbia wale vijana. pmja na wadogo zangu wale nao walikimbia na kutokomea kbsa. Nikaanza kurudi nyumbani na ugeni ule dah! Nilipata wakati mgumu sana mpka kufika nyumbani, kulipokucha nikaenda polisi kutoa taarifa na kuandika maelezo, ilinibidi nifupishe ugeni pale nikarudi kwetu, wanajamvi hichi ni kisa cha kweli nimeona nishee na nyie, ila kama hataamini mtu pia cyo lzma, nipo tayari kukosolewa, karibuni tushee
Uko vizuri chief, napenda sana hiyo aina iko na nguvu na amo ya kutoshaG19 mkuu
Unafanya makosa makubwa umekisoma vizuri kile kitabu cha umiliki? Kifupi ni kwamba unatakiwa uwe nayo muda wote unless umeihifadhi polisi siku ikipotea ndo utaujua muziki wakeNina silaha zaidi ya miaka 7 sijawahi nenda nayo ibada...yaweza kuwa kweli ila siamini hii hadithi yako maana unalazimisha tukuamini
Hpna mkuu umu jf kuna watu ambao kila utakacho kiandika kwao ni story za kutunga
Wakuu kama kichwa cha hbri inavyosema hpo juu mwezi wa nne mwaka huu nilienda kijijini, kwa maana ya kumtembelea mama yangu mkubwa kwa lengo la kula sikukuu ya pasaka, nilifika mida ya jioni ya saa kumi na moja mama yangu alinipokea kwa bashasha kama mwanae, pmja na watoto wake kwa maana ya wadogo zangu kiujumla walinipokea vzr sana, akanitambulisha kwa wadogo zangu wale ambao niliwaacha wakiwa wadogo kbsa, sbbu ni miaka mingi nilikua sijawai kwenda uko kijijini kwake, nikachinjiwa kuku kama mgeni muhimu sana, ikafika mda wa kwenda kanisani ucku namaanisha Ibada ya mkesha wa pasaka, nikaongozana na wadogo zangu wa kike wawili kwa mguu, sbbu njia ilikua mbaya haipitiki kwa gari kwa maelezo ya wenyeji wangu, kanisa lipo mbali na pale nyumbani kama kilomita mbili na kitu, wakati nimeongozana na wale wadogo zangu wa kike, ghafla nikazingirwa na vijana kama wa3 nikamulikwa tochi usoni nikawauliza wale vijana nini madhumuni yenu? Nikajibiwa na banzi sijapata kuona! Mmoja wa wale vijana akasema Leo Latifa (cyo jina lake halisi) tunataka hela zetu malaya mkubwa, anaambiwa mmoja wa wale wadogo zangu, nikamshika kijana moja nikampa kichwa, ghafla akatoa panga nikaona nachelewa wataniua hawa, nilichokifanya ni kuichomoa Glock nilipiga risasi mbili hewani kwa mfululizo, nilijikuta nimebaki peke yangu, wakakimbia wale vijana. pmja na wadogo zangu wale nao walikimbia na kutokomea kbsa. Nikaanza kurudi nyumbani na ugeni ule dah! Nilipata wakati mgumu sana mpka kufika nyumbani, kulipokucha nikaenda polisi kutoa taarifa na kuandika maelezo, ilinibidi nifupishe ugeni pale nikarudi kwetu, wanajamvi hichi ni kisa cha kweli nimeona nishee na nyie, ila kama hataamini mtu pia cyo lzma, nipo tayari kukosolewa, karibuni tushee
Wale niliamini kua ungomvi wao ulikua ni mambo ya uzinzi2 lkn wangekua na nia na mimi nicngetoa warning bullet ningekula vichwa vyoteNadhani unasema ukweli kwani sioni loopholes nyingi ninazoziona kwenye story za uongo hapa. Ulifanya vizuri sana kupiga kwanza risasi juu. Ila kama wangakaidi ingebidi uwalenge. Na mimi nikupe kisa kimoja cha kweli kilichowahi kutokea miaka ya nyuma karibu na maeneo ya Tangibovu Dar. Kwenye muda wa saa tano usiku jamaa mmoja alivamiwa nyumbani kwake. Kwa bahati nzuri akapiga mayowe na majirani wakatoka. Katika hao majirani alikuwepo mwanajeshi mmoja na alikuwa na handgun. Akanyelea bila woga akamkuta mmoja ya wale wezi amebana kwenye michongoma inayozunguka ile nyumba. Alipomwona akamwamuru ''jisalimishe weka mikono juu''. Kumbe kwa bahati mbaya sana yule mwizi nae alikuwa na silaha ya moto akawahi kumpiga na kufariki pale pale. Nikirudi kwenye kisa chako... Dar inatakiwa uwe makini sana kusoma mazingira na adui yako kwani unaweza kupiga juu kumbe mwenzako iko chemba na akakuwahi.