Siku nilipolazimika kutumia silaha

Siku nilipolazimika kutumia silaha

Ulitakiwa moja upige juu ya pili uzishe kwenye ugoko. Ukitoka hapo unalekebisha tabia za dada zako kwa bakora za haja, mpka mama ajue kweli mwanaume kaingia na mabinti wapoteze kihelehele chote cha kuja mjini kwa brother. Si ajabu ukute mabinti walikuwa wanamsumbua sana mzazi.
Kile kitendo mkuu kiliniacha na maswali mengi sana, sbbu cku iyo ndio nimefika alaf nakutana na balaa hilo
 
Hata tumeshajua una glock, na gari...
Wewe ni tajiri bhana!
Lengo la thread mkuu haikua iyo haunijui ckujui kwaiyo nijikweze kwako au kwa members wa jf ili iweje lbda ilhali wote tunatumia fake ID
 
Pole sana mkuu, ungetoa mmoja ubongo liwe fundisho hapo kijijini
 
Lengo la thread mkuu haikua iyo haunijui ckujui kwaiyo nijikweze kwako au kwa members wa jf ili iweje lbda ilhali wote tunatumia fake ID
Me situmii ID fake...yangu ni orijino kabisa!
 
Hao ndugu zako malaya tu ndio walipanga huo mpango na hao vijana. Kwamba wawavamie na kuwateka kumbe nia yao ni kwenda kwa hao vijana. Tafakari chukua hatua.
 
nmeelewa hapo kwenye kuchnjwa kuku ...

Kwingine daah nmeona uvvu kusoma

Napenda sana kuku mkuu ...

Siku nyingine twende wote kwa mamkubwa
 
nmeelewa hapo kwenye kuchnjwa kuku ...

Kwingine daah nmeona uvvu kusoma

Napenda sana kuku mkuu ...

Siku nyingine twende wote kwa mamkubwa
Sawa mkuu ila vuta subira mpka atakaporudi mjomba wake pembe za panzi kutoka Italy
 
Hao ndugu zako malaya tu ndio walipanga huo mpango na hao vijana. Kwamba wawavamie na kuwateka kumbe nia yao ni kwenda kwa hao vijana. Tafakari chukua hatua.
Sidhani kama walipanga ivyo unavyofikiria, lkn chanzo ni mmoja wa hao ndugu zangu, na hta wavamizi nahisi walifikiri kua nimeopoa dem wao kumbe cvyo
 
Back
Top Bottom