Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 58,058
- 134,387
Kama kuna mtu ananipenda humu asinichikulie vibaya, yeye aendelee kunipenda tu. It is the past, very long time ago
Amina na Ashura walikuwa wahudumu wa duka kubwa la Mpesa mkoani pale. First time nikamwelewa Amina lakini sikuwa nimemzoea na alikuwa mkimya sana kwa hiyo ilileta ugumu kupata namba. Lakini Ashura alikuwa chakaramu sana, tukazoeana mpaka akaniomba namba yangu.
Siku moja nikamuomba outing hakuvunga. Kero ilikuja kutokana na yeye kuanza kunipa stori za mahusiano yake. Nikaona kumbe ana mtu, nikamuomba namba ya Amina na kama anaweza anipigie pande.
Amina alikubali lakini ni wale watu wenye pozi sana, mara kadhaa alikuja hotelini kwangu lakini utelezi hatoi. Akanikera, ikabidi nimsemee kwa Amina. Amina akanionea huruma akasema usijali nakuja kukupa papa mwenyewe.
Siku hiyo ikafika Ashura akazama room. Nikiwa napiga foreplay simu za Amina zikaannza, akapiga kama mara 5 hivi, sipokei. Kisha akatuma sms "Nipo hapa nje, si room ile ile kama haupo nichukue funguo leo nataka kulala na wewe"
Nikamwambia Ashura ndugu yako yupo hapo nje. Ashura akiwa kapaniki Amina akaanza kumpigia yeye simu. Akamtumia sms ajaribu kunipigia maana sipokei simu yake.
Ashura akaenda reception kuuliza kama nipo Yule dogo maza faka akamwambia nipo room wakati akijua nina mwanamke mwingine. Mlango ukaanza kugongwa, tupo room tumepiga kimya. Anagonga huku anasikilizia. Fasta nikazima simu, akiwa pale mlangoni akapiga simu ya Ashura ikaita kwa sauti ikiwa chumbani. Akaanza kuita Amina....Ashura...Ashura, Ashura yupo kimya tu.
Baadae ikiwa kimya, nikaona nichomoke kuona kama msala umeisha au! Askari ananiambia alikuwa hapa analia lakini ameondoka. Basi nikarejea ndani kuomba mzigo kwa Ashura. Ashura alinipa kinyonge sana maana alikuwa Amina amemtumia sms za kumwita msaliti maana hapokei simu na amesikia ikiita chumbani kwangu.
Mambo mengi sana yaliendelea ambayo sio muhimu. Ufuska haufai