JokaKuu....muandike sasa historia ya Tanzania. Kuna watu wenye nia ya kuipotosha
Mama Janguo ni mtu wa Kigoma kama Asha BarakaNaomba unikumbushe yule aliyekuwa nadhani mkutugenzi wa Nadhani Tanapa? (Ndolanga?) Naye alikuwa anatingisha sana kipindi cha Janguo, yeye alikuwa Arusha lakini fujo zake mpaka dar. Hivi Asha Baraka (Twanga, Biko) alikuwa na udugu na Janguo?
Dar ilikuwa moto sana kipindi hicho, maana hapa kuna Ngida C (juma ngida), Abdul msomali, Abbass Mwinyi, Jimmy, john fedha, Macheni (Husein), Asha Baraka, ect
Mohamed: soma kitabu cha Chande kinajieleza vizuri. Hayo Mashirika kama THA na TRL n Unga Limited yana historia ndefu na taratibu thabiti yalikuwa almost elitist, ya kikoloni. Bodi hizo zilikuwa ni kama baraza la maaskofu hawezi akaingia kila tom dick and harry. Nilistuka ulipodai kijana mdogo uingizwe Bodi just like that, ndipo nikakumbuka wewe na Dau ni "siasa kali" umechukua nafasi kupenyeza mnyukano wa "club" yenu na "club" ya chande (ambayo kama ungeendelea ungeisukuma kwa Nyerere). Yaani naamini kabisa there was no such Board meeting at all, ni nafasi tu umeitumia kujenga club yako huku ukinogesha ajenda. Kwenye kitabu cha Sykes umeongea mengi sana mazuri lakini hukuongea jinsi baada ya kutaifishwa mabenki na biashara kuu kuna wahindi wazalendo walibaki kumsaidia Nyerere kuongoza NBC, GAPEX, TMC, na biashara zingine: kina Jamal, Haridas, Chande, Kassum nk. Kama Chande anakuuma kiasi hicho ungemtaja kwenye kitabu chako kwa sababu alishiriki sana harakati za ukombozi huo, lakini he was in the wrong "club". Samahani kama nimekosea lakini ulinistua kusema uliachiwa uingie kikao cha bodi.William...
Hapana haifai kuleta hayo kwenye taazia si uungwana.
Mimi nimemweleza Chande kwa ile siku moja.
Bado unayo nafasi na wewe ukamweleza vyema kupita mie kwa kuwa
ulifanyanae kazi Unga Limited.
Kwenye video ya Tunda special ya Muumin Mwinjuma yupo Idd Janguo pia na micheni yake kutoka Texas.Pia Mzee Janguo alikuwa mkurugenzi ''relwe'' na pia katibu mkuu wizara fulani kama sijakosea,hao watoto wake walikuwa wakipaishwa sana kwenye Twanga na Mzee wa Farasi ,pamoja na marehemu Banza mtoto wa Sinza
William...Mohamed: soma kitabu cha Chande kinajieleza vizuri. Hayo Mashirika kama THA na TRL n Unga Limited yana historia ndefu na taratibu thabiti yalikuwa almost elitist, ya kikoloni. Bodi hizo zilikuwa ni kama baraza la maaskofu hawezi akaingia kila tom dick and harry. Nilistuka ulipodai kijana mdogo uingizwe Bodi just like that, ndipo nikakumbuka wewe na Dau ni "siasa kali" umechukua nafasi kupenyeza mnyukano wa "club" yenu na "club" ya chande (ambayo kama ungeendelea ungeisukuma kwa Nyerere). Yaani naamini kabisa there was no such Board meeting at all, ni nafasi tu umeitumia kujenga club yako huku ukinogesha ajenda. Kwenye kitabu cha Sykes umeongea mengi sana mazuri lakini hukuongea jinsi baada ya kutaifishwa mabenki na biashara kuu kuna wahindi wazalendo walibaki kumsaidia Nyerere kuongoza NBC, GAPEX, TMC, na biashara zingine: kina Jamal, Haridas, Chande, Kassum nk. Kama Chande anakuuma kiasi hicho ungemtaja kwenye kitabu chako kwa sababu alishiriki sana harakati za ukombozi huo, lakini he was in the wrong "club". Samahani kama nimekosea lakini ulinistua kusema uliachiwa uingie kikao cha bodi.
William...
Unaandika vizuri na nakuelewa vyema.
Sina sababu ya kusema uongo.
Niliyokueleza ndivyo ilivyotokea.
Si hilo tu.
Nimewahi vilevile kuwa katika ''delegation,'' ya Bandari iliyokwenda Lusaka,
Zambia kuhudhuria mkutano ambao wajumbe ni wakurugenzi.
Kulikuwa na Kamati ikiitwa Transport Coordination Committee ambayo
ilijumuisha THA, TAZARA, TRC na wengine sikumbuki maana miaka imepita
hawa ni watumia bandari na wasafirishaji kutoka Zambia, Malawi na Congo.
Tulikuwa na mikutano tukifanya Malawi na Zambia kila baada ya muda hivi na
ikizunguka kati ya nchi hizo.
Azma ya mikutano hii ilikuwa kujaribu kuleta ufanisi Bandari ya Dar es Salaam
kwa kukutana mara kwa mara na kujadili matatizo ya usafirishaji wa mizigo.
Waliokuwa wanahudhuria vikao hivi katika nchi hizo ni Mkurugenzi Mkuu,
Mkurugenzi wa Masoko na Mkurugenzi wa Utekelezaji.
Ikatokea kuwa Mkurugenzi wa Masoko Dr. Dau alikuwa Ulaya na ofisi ninakaimu
mimi.
Kwa adabu za ofisi nilimpelekea mkubwa wangu taarifa ya mkutano wa Lusaka
na nikamfahamisha kuwa napeleka taarifa kwa ''travel agent,'' atayarishe tiketi yake
ili yeye atue Nairobi na hapo aunganishe ndege moja kwa moja hadi Lusaka badala
ya kuja Dar kwa hofu ya kuchelewa kikao.
Jibu lililokuja kwangu kutoka wa Dr. Dau ni kuwa yeye ofisi ameniachia nakaimu kwa
hiyo nitimize wajibu wangu.
Mimi nilisafiri na wakurugenzi hao niliokutajia hapo juu kwenda Lusaka kwenye
mkutano ule.
Iko picha tumepiga Pomodzi Hotel Lusaka niko bega kwa bega na wazee wangu
wakurugenzi.
Kwako lipi kubwa hili la Chande au hili la Lusaka?
Nina mengi.
Hayo ya kutoeleza utafishaji wa mabenki nisingeweza kuyaandika katika kitabu cha
Sykes kwani si mahali pake.
Kwa hakika Dr Dau ni sehemu muhimu ya maisha yako, sasa nimeelewa vizuri ni kwa nini ulitaka daraja la Kigamboni liitwe Dr Dau bridge lakini Magufuli akaamuwa liitwe JK Nyerere bridge.William...
Unaandika vizuri na nakuelewa vyema.
Sina sababu ya kusema uongo.
Niliyokueleza ndivyo ilivyotokea.
Si hilo tu.
Nimewahi vilevile kuwa katika ''delegation,'' ya Bandari iliyokwenda Lusaka,
Zambia kuhudhuria mkutano ambao wajumbe ni wakurugenzi.
Kulikuwa na Kamati ikiitwa Transport Coordination Committee ambayo
ilijumuisha THA, TAZARA, TRC na wengine sikumbuki maana miaka imepita
hawa ni watumia bandari na wasafirishaji kutoka Zambia, Malawi na Congo.
Tulikuwa na mikutano tukifanya Malawi na Zambia kila baada ya muda hivi na
ikizunguka kati ya nchi hizo.
Azma ya mikutano hii ilikuwa kujaribu kuleta ufanisi Bandari ya Dar es Salaam
kwa kukutana mara kwa mara na kujadili matatizo ya usafirishaji wa mizigo.
Waliokuwa wanahudhuria vikao hivi katika nchi hizo ni Mkurugenzi Mkuu,
Mkurugenzi wa Masoko na Mkurugenzi wa Utekelezaji.
Ikatokea kuwa Mkurugenzi wa Masoko Dr. Dau alikuwa Ulaya na ofisi ninakaimu
mimi.
Kwa adabu za ofisi nilimpelekea mkubwa wangu taarifa ya mkutano wa Lusaka
na nikamfahamisha kuwa napeleka taarifa kwa ''travel agent,'' atayarishe tiketi yake
ili yeye atue Nairobi na hapo aunganishe ndege moja kwa moja hadi Lusaka badala
ya kuja Dar kwa hofu ya kuchelewa kikao.
Jibu lililokuja kwangu kutoka wa Dr. Dau ni kuwa yeye ofisi ameniachia nakaimu kwa
hiyo nitimize wajibu wangu.
Mimi nilisafiri na wakurugenzi hao niliokutajia hapo juu kwenda Lusaka kwenye
mkutano ule.
Iko picha tumepiga Pomodzi Hotel Lusaka niko bega kwa bega na wazee wangu
wakurugenzi.
Kwako lipi kubwa hili la Chande au hili la Lusaka?
Nina mengi.
Hayo ya kutoeleza utafishaji wa mabenki nisingeweza kuyaandika katika kitabu cha
Sykes kwani si mahali pake.
Matola sijataka daraja liitwe Daraja la Dau. Vipi ninaweza kuwa na fikra kama hiyo?Kwa hakika Dr Dau ni sehemu muhimu ya maisha yako, sasa nimeelewa vizuri ni kwa nini ulitaka daraja la Kigamboni liitwe Dr Dau bridge lakini Magufuli akaamuwa liitwe JK Nyerere bridge.
Mzee wangu hata mimi ni wa Dar japo ni kinda, nimezaliwa ocean road, na siye wenye uchungu na pesa zetu daraja lile tunaliita NSSF bridge.Matola sijataka daraja liitwe Daraja la Dau. Vipi ninaweza kuwa na fikra kama hiyo?
Nilichosema ni kuwa hapa Dar sisi wenyewe kwa wenyewe tunapolitaja daraja lile huwa tunaliita "Daraja la Dau," na hii ni katika maskhara.
Hivi ni Taazia au Tanzia? By the way usikwazike Mzee wangu tuko pamoja.Matola tumetoka katika taazia ya Chande tumekwenda kwengine kabisa.
Matola inategemea unatokea wapi. Watu wa bara wao ni tanzia lakini watu wa pwani ni taazia.Hivi ni Taazia au Tanzia? By the way usikwazike Mzee wangu tuko pamoja.
Swadakta umeniondolea utata, nadhani Bakita ndio wanajuwa usahihi zaidi.Matola inategemea unatokea wapi. Watu wa bara wao ni tanzia lakini watu wa pwani ni taazia.
Kweli mkuu, alionesha uzalendo wa hali ya juu. Ila kuna hili suala la kuwa Freemasson linanichanganya kidogo. Hadithi nyingi tunazisikia kuwa hii jamii ni ya kishirikina na kazi zao hutegemea kuuwa watu ili kutoa makafara hivyo si watu wazuri. Sasa huyu Chande alikuwa mzalendo kiasi hiki na hakumtoa kafara Mwalim baada ya kutaifisha mali zake. Hapo ndo pananichanganya. Ufafanuzi kwa anayeelewa hii jamii kwa usahihi tafadhali.Mkuu Mohamed Said
Kwanza asante kwa kutujuza machache kuhusu JK Chande..... a round tabler and a rotarian
Nimeona kiwanda chake kilitaifisha lakini aliendelea kuwa raia mtiifu wa nchi hii.
Je unadhani hiyo ndiyo ilimfanya kuaminiwa sana na Mwl Nyerere?
Kwenye autobiography yake inaonyesha alikuwa ana vyeo lukuki....kuanzia bandarini, taasisi za fadha hadi shirika la ndege.
Hakika huyu mzee alikuwa na maadili ya juu kabisa. Naona watu wa "hivihivi" hawawezi kufikia utumishi wake kwa jamii ya watanzania miaka hiyo
Mkuu....unanikumbusha kauli iliyojaa masikitiko, toka kwa raisi wa awamu ya 3...kwamba watanzania wameachana na utamaduni wa kujisomea....!Ile pale nyuma ya Kilimanjaro hotel ni Temple tu kamwe wenyewe huwezi kuwaona hata siku moja wakiingia jengo lile.
Kuna watu kichwani wamejaa fungus, Freemason ndio wenye Rotary club na Lions club.
Kwa mtu ambaye yupo hapa mjini kitambo anajuwa vyema charity zilizofanywa na club hizi.
Tatizo kubwa la Watanzania ni poor IQ na slow learners.
Kaka yangu, Kadhi Mkuu....uhakika na ukweli utaupata tu, kwa wewe mwenyewe kujisomea....google, ingia soma, pata tafsiri yako mwenyewe, ikitokea tafsiri yako ikawa sawa na unayoyasikia kwa "wajuvi wa mambo", vema, lkn ikiwa ni tofauti, simama ktk kile ulichokisoma....Kweli mkuu, alionesha uzalendo wa hali ya juu. Ila kuna hili suala la kuwa Freemasson linanichanganya kidogo. Hadithi nyingi tunazisikia kuwa hii jamii ni ya kishirikina na kazi zao hutegemea kuuwa watu ili kutoa makafara hivyo si watu wazuri. Sasa huyu Chande alikuwa mzalendo kiasi hiki na hakumtoa kafara Mwalim baada ya kutaifisha mali zake. Hapo ndo pananichanganya. Ufafanuzi kwa anayeelewa hii jamii kwa usahihi tafadhali.