Siku moja na Sir Andy Chande

Siku moja na Sir Andy Chande

Kwenye video ya Tunda special ya Muumin Mwinjuma yupo Idd Janguo pia na micheni yake kutoka Texas.

Na video za awali za Twanga Haji Janguo naye aliuza fuvu kwenye zile video akiwa na kamarade Ally Choki.
Ama kweli kila kitabu na zama zake,saa hizi ukiyataja hayo majina utaulizwa hao ndio nani?pia kweny enzi hizo alikuwepo marehemu Ipi Malecela ,da jamaa walitikisa Dar na walikula bata sana.
 
Kitabu hiki cha Chande nilikinunua Arusha Jumatano Juni 2008 kwenye Sulllivan Summit.

FvJg2GMdPZ-oqcxUs7hEVgBe1qWS5Z2RvN4W2kU0bNIabv9xvqnLMGpuqSGWeLpCCu6DAC_bBU7CaCMKkIetTg7BBxlClc1Xr4V1yMmkeOQrmXY1Qi8wXMoyIYnTE3dIlbbcK70pfSugCh8bAMyZ0rKE-3zrnG_bFQI3ZXuO_lXh3VmFV8lYYKk-EDeqsjccOHjXd1DDGiuXw6KKRSqNu5WRAT5b110JkYl0vXayGsYit7GeJEMy1F-YppYdlbzfDboHIEqI48HXvlObz6xc6Rm3d8PTFdeuQhvHFvlnU1k8tMhgB9WtHlS9ctl1zhYoHM7MX7AA36f0NmR1mWqzcFMveFJl0nkyMLYRLPVenmH6pByiCrK6bcSKdmxvPElvq50GRhh3qEUySbKJMDmXnsjJC_mpEomBSZwLPkbAilwzwp-nt16-dJLin2reXQH5AD7dOUXr7nSYBZUm58XCi0HcKeJ_c2yU5JvM0SvmXZ5ZtLYlVYf1S5IK2uOOoQBSCJkNnMsvFka6UWqMbKAqF6ILhc5CBzfeVkv_o8nGp0mfMMzjqA7lvQl6SV9IrXmrWBTofhz5vBFdfeJgmGPJj3LShRf4RcgGX3Vyytam_B1N4eDNlQ=w428-h623-no

..kumbe umekisoma kitabu cha Andy Chande?

..ameeleza mengi sana mle ndani

..huyu Mzee alikuwa akiifahamu Tz vizuri sana, tena sana.
 
Mzee wetu tunashukuru kwa kutupa elimu ambayo wengi hawaijui. Nakuombea kwa Allah( S.W) akuzidishie pale palipopungua. Amina.
 
William...
Unaandika vizuri na nakuelewa vyema.
Sina sababu ya kusema uongo.

Niliyokueleza ndivyo ilivyotokea.
Si hilo tu.

Nimewahi vilevile kuwa katika ''delegation,'' ya Bandari iliyokwenda Lusaka,
Zambia kuhudhuria mkutano ambao wajumbe ni wakurugenzi.

Kulikuwa na Kamati ikiitwa Transport Coordination Committee ambayo
ilijumuisha THA, TAZARA, TRC na wengine sikumbuki maana miaka imepita
hawa ni watumia bandari na wasafirishaji kutoka Zambia, Malawi na Congo.

Tulikuwa na mikutano tukifanya Malawi na Zambia kila baada ya muda hivi na
ikizunguka kati ya nchi hizo.

Azma ya mikutano hii ilikuwa kujaribu kuleta ufanisi Bandari ya Dar es Salaam
kwa kukutana mara kwa mara na kujadili matatizo ya usafirishaji wa mizigo.

Waliokuwa wanahudhuria vikao hivi katika nchi hizo ni Mkurugenzi Mkuu,
Mkurugenzi wa Masoko na Mkurugenzi wa Utekelezaji.

Ikatokea kuwa Mkurugenzi wa Masoko Dr. Dau alikuwa Ulaya na ofisi ninakaimu
mimi.

Kwa adabu za ofisi nilimpelekea mkubwa wangu taarifa ya mkutano wa Lusaka
na nikamfahamisha kuwa napeleka taarifa kwa ''travel agent,'' atayarishe tiketi yake
ili yeye atue Nairobi na hapo aunganishe ndege moja kwa moja hadi Lusaka badala
ya kuja Dar kwa hofu ya kuchelewa kikao.

Jibu lililokuja kwangu kutoka wa Dr. Dau ni kuwa yeye ofisi ameniachia nakaimu kwa
hiyo nitimize wajibu wangu.

Mimi nilisafiri na wakurugenzi hao niliokutajia hapo juu kwenda Lusaka kwenye
mkutano ule.

Iko picha tumepiga Pomodzi Hotel Lusaka niko bega kwa bega na wazee wangu
wakurugenzi.

Kwako lipi kubwa hili la Chande au hili la Lusaka?
Nina mengi.

Hayo ya kutoeleza utafishaji wa mabenki nisingeweza kuyaandika katika kitabu cha
Sykes kwani si mahali pake.
Mohamed: bahati mbaya (nzuri?) wewe sikujui lakini Janguo na Dau na Chande nawajua. Kama Dau alikukabidhi madaraka itakuwa ni kwa kukupenda mujaheedina mwenziye na si vinginevyo. Cairo Road mlienda kufanya nini?

Directorate ya Marketing nawajua maafisa si china ya 5 waliokuzidi (nasema walikuzidi kwa vile setup yake ninaijua na wewe si mmojawapo. Kwenye ngazi iliyofuata chini yao kulikuwa na wati 17, inawezekana labda umo humo, lakini way way down.

Kwa mdomo wako mwenyewe umesema siku ile (yako na Chande) Janguo aliamua yeye kupresent ripoti ya marketing: ni kwa sababu hakuona mtu. Fani yako wewe ni insurance mambo ya marketing wapi na wapi?
WM
 
Mohamed: bahati mbaya (nzuri?) wewe sikujui lakini Janguo na Dau na Chande nawajua. Kama Dau alikukabidhi madaraka itakuwa ni kwa kukupenda mujaheedina mwenziye na si vinginevyo. Cairo Road mlienda kufanya nini?

Directorate ya Marketing nawajua maafisa si china ya 5 waliokuzidi (nasema walikuzidi kwa vile setup yake ninaijua na wewe si mmojawapo. Kwenye ngazi iliyofuata chini yao kulikuwa na wati 17, inawezekana labda umo humo, lakini way way down.

Kwa mdomo wako mwenyewe umesema siku ile (yako na Chande) Janguo aliamua yeye kupresent ripoti ya marketing: ni kwa sababu hakuona mtu. Fani yako wewe ni insurance mambo ya marketing wapi na wapi?
WM
William...
Una haraka sana.
Soma maelezo yangu kwa utulivu.

Nimekueleza kuwa idarani tulikuwa watu wawili tu.
Hii ilikwa mwaka wa 1993.

Sababu ndiyo iliyonifanya mimi kukaimu kwani isingewezekana kuacha nafasi bila mtu wa kukaimu.

Hakika mimi nilikuwa Idara ya Insurance lakini nilihamishwa idara hiyo nikapelekwa Idara ya Biashara.

Nikahamishwa tena Idara ya Biashara nikapelekwa Idara ya Masoko.

Hili la mujahid sijui linakuja vipi hapa.
Ikiwa una maana nilipata kazi kwa Uislam wangu basi hii ni barabara ya njia mbili.

Lazima wawepo na wa dini nyingine ambao nao wamenufaika kwa dini yao.

Kuhusu Cairo Road nifafanulie nikupe jibu.
Binafsi nimefika Cairo mara mbili 1988 na 1991 lakini sina kumbukumbu ya mtaa huo.
 
Mzee Chande aliwahi kuwataja wanachama maarufu wa klabu yake. NakumbukaNakumbuka alimtaja pia Mkapa
 
Mzee wangu Mohamed niliwahi kukuomba uandike kidogo tanzia ya sir kahama hujanijibu kabisa
Maishapopote,
Niwie radhi kuwa sijakujibu.
Kuna mambo sharti uyape muda kuyaandika.

Nitakupa mfano.

Daisy Sykes
alipokufa baba yake Abdul Sykes 1968 alitaka kuandika historia
yake.

Mwalimu wake wa historia Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam John Iliffe alimwambia
hilo ni somo zito linahitaji kupewa muda.

Alimwambia hivi kwa sababu tayari palishatokea maneno kuhusu historia ya TANU.
Kuna watu walikuwa wanajaribu kulifuta jina la baba yake na familia yao katika
historia ya Tanganyika.

Hakutaka Daisy amwage petrol kwenye moto.
 
Maisha popote niwie radhi kuwa sijakujibu.
Kuna mambo sharti uyape muda kuyaandika.

Nitakupa mfano.
Daisy Sykes alipokufa baba yake 1968 alitaka kuandika historia yake.

Mwalimu wake wa historia John Iliffe alimwambia hilo ni somo zito linahitaji kupewa muda.

Alimwambia hivi kwa sababu tayari palishatokea maneno kuhusu historia ya TANU.

Hakutaka Daisy amwage petrol kwenye moto.
Ok..lkn kama utaniahidi utaiandika ntashkuru
 
Maudhui ni kwamba ukitumbuliwa usibwatuke na kuropoka we kaa kimya na uangalie una move vipi na kuweka mambo kwenye mstari na hiyo wanaweza watoto wa mjini tu
 
Nikupe pongezi mzee wangu MS kwa historia fupi uliyo tupa kwa jinsi unavyo mfahamu Sir Andy. Nipende kuwaomba wa Jf tutumie fursa hii adhimu kumuuliza mzee wetu Ms mambo Yale tunayo taka kufahamu kwani kwa mtazamo wangu nimendua yapo mengi mazuri anaweza kutujuza.
 
Bandari iliwanufaisha sana watu wa imani ile, kwahiyo hapo Nyerere hakuwa na tatizo.
Huu uzi umeweka wazi mambo mengi sana....ukweli ni kitu cha ajabu. Hakuna anayeweza kuufuta
 
Andy Chande alimwambi Mwl Nyerere "hauwezi kufufua uchumi kwa kutaifisha mali za watu, historia itatuhukumu kati mimi na wewe nani alikuwa sahihi"
Naam historia imehukumu kwa uwazi kabisa Chande alikuwa sahihi.
BURIANI SIR CHANDE
 
Back
Top Bottom