Siku moja na Sir Andy Chande

Siku moja na Sir Andy Chande

Andy Chande alimwambi Mwl Nyerere "hauwezi kufufua uchumi kwa kutaifisha mali za watu, historia itatuhukumu kati mimi na wewe nani alikuwa sahihi"
Naam historia imehukumu kwa uwazi kabisa Chande alikuwa sahihi.
BURIANI SIR CHANDE

Imemuhukumu vipi Mwalimu Nyerere? Slow the rolling stone starts gathering dust...ndio maana ubinafsishaji ulienda kombo basi...ili kuonyesha hukumu ya Nyerere ilifanywa na historia, baada ya Sir kuongoza jahazi la ubinafsishaji.
 
  • Thanks
Reactions: Ame
M/Mungu akupe umri mrefu sheikh Mohammed. Kinachonifurahisha ni kiswahili sanifu utumiacho. Jazaak Allah.
Haswa!
Uwezo wa kutumia lugha!
Andiko lake ni kama maneno ya kutoka kinywani, kwa mwenye kujua, na mwenye nidham ya kutosha, ktk kusikiliza na kujifunza!
 
Mohamed: sasa nimekupatapata. Mie safari zangu zilikuwa zinaishia audit na kwa Lyamaiga. Kwa hiyo CV yako nashauri mtafute ili mchangamkie rends Tanga Port, Bagamoyo SEZ na hata Malindi wanatafuta port management systems.
Bill Marconi

Nikuulize swali moja kuhusu kitabu chako cha Abduwaheed, kama hutajali. Hivi hauna mpango wa kutoa Volume 2 ili umtendee haki Nyerere na Wakristo kwa kujikita zaidi kwenye mambo unayoyajua kuliko ya kuambiwa?
William...
Bado hujanipata lakini nashukuru kuwa angalau nakuona lugha ghafla
imebadilika kile kibri sikioni tena.

Hiyo si CV yangu iliyokamilika.
Hebu niangalie kwa upande mwingine hapo chini:
  1. PUBLICATIONS/RESEARCH PAPERS/ARTICLES
  2. The Life and Times of Abdulwahid Sykes 1924 –1968 The Untold Story of the Muslim Struggle against British Colonialism in Tanganyika, Minerva Press London, 1998 translated into Kiswahili as Maisha na Nyakati za Abdulwahid Sykes 1924-1968 Historia Iliyofichwa Kuhusu Harakati za Waislam Dhidi ya Ukoloni wa Waingereza, Phoenix Publishers, Nairobi, 2002.
  3. The Torch on Kilimanjaro, Oxford University Press, Nairobi, 2006
  4. Contributing author for an African anthology: The Mermaid of Msambweni and Other Stories, Oxford University Press 2007, Nairobi.
  5. Contributing author Dictionary of African Biography (DAB), Oxford University Press 2011, New York.
  6. Uchaguzi wa Busara, Abantu Publications 2008, Dar es Salaam.
  7. In Praise of Ancestors (1987) Africa Events (London).
  8. Abdulwahid Sykes: Founder of Political Movement (1988) Africa Events (London).
  9. Islam and Politics in Tanzania (1989) Al Haq International (Karachi)
  10. The Plight of Tanzanian Muslim (1993) Change (Dar es Salaam).
  11. Tanzania - The "Secular" Unsecular State (1995) Change (Dar es Salaam).
  12. The Question of Muslim Stagnation in Education in Tanzania - A Muslim Riddle (Paper presented at the Conference of the Global World of the Swahili Intercultural Dialogue on the Indian Ocean Zanzibar, February 20 - 23, 2003).
  13. Islamic Education and Intellectualism in Eastern Africa ‘Themes from the Pulpit in Tanganyika (Tanzania Mainland) 1800 – 2000’ (Paper presented at International Symposium on Islamic Civilisation in Eastern Africa Kampala, Uganda organised by the Islamic Conference Research Centre for Islamic History, Art and Culture (IRCICA), Istanbul and the Islamic University in Uganda, Mbale December 15th – 17th 2003).
  14. Sheikh Hassan bin Ameir - The Moving Spirit of Muslim Emancipation in Tanganyika (1950 – 1968) (Paper presented at Youth Camp Organised by Zanzibar University, World Assembly of Muslim Youth (WAMY) and Tanzania Muslim Students Association (TAMSA) 27th February – 4th March 2004).
  15. Islamic Movement and the Christian Lobby in Tanzania - the Experience of the late Prof. Kighoma Ali Malima (1938 – 1995) (Paper Presented to Tanzania Muslim Students Association (TAMSA) Sokoine University of Agriculture (SUA) Morogoro 11th April 2004).
  16. Terrorism in East Africa the Tanzanian Experience (Paper Presented at the Conference on Islam, Terrorism and African Development University of Ibadan, Nigeria 8th - 10th February 2006).
  17. Al Marhum Sheikh Kassim bin Juma bin Khamis (1940 – 1994) and the Pork Riots of 1993. (Paper Presented at the Regional Conference on Islam in Eastern Africa: Islam Encounter with the Challenges of the 21st Century 1st - 3rd August 2006, Kenyatta University, Nairobi.
  18. 14. Muslim Bible Scholars of Tanzania – The Legacy of Sheikh Ahmed Deedat (1918 – 2005) Paper Presented at the International Symposium on Islamic Civilisation in Southern Africa Organised by The Organisation of Islamic Conference Research Centre for Islamic History, Art and Culture (IRCICA) The National AWQAF Foundation of South Africa (AWQAF SA 1 – 3 September 2006 University of Johannesburg.
  19. Tanzania: A Nation Without Heroes Seminar Organised by IFRA French Institute for Research in Africa and BIEA British Institute in East Africa 23rd and 24th September 2013 at IFRA Nairobi.
  20. Awards: Several Awards.
  21. Visiting Scholar: (2011)
  22. University of Iowa, Iowa City, USA
  23. Northwestern University, Chicago, Illinois, USA
  24. Zentrum Moderner Orient (ZMO), Berlin.
  25. OTHER COUNTRIES VISITED
  26. Zambia, Ethiopia, Swaziland, Msumbiji, Zimbabwe, Sudan, Egypt, Saudi Arabia, United Arab Emirates, Oman, Yemen, Uganda, Switzerland, Iran, France, Netherlands, Turkey and Abu Dhabi.
William,
Umenishauri nitafute kazi.

Sijui ni kitu gani kimekupelekea kuona kuwa nahitaji kazi lakini juu ya
hayo yote nakushukuru kwa kunifikiria.

Hivi sasa mimi nimestaafu napumzika maisha ya kazi ya kuajiriwa.

Unazungumza kuhusu kitabu cha Abdul Sykes kuwa niandike kitabu
kingine nimtendee haki Nyerere na Wakristo.

Kitabu cha Abdul Sykes kimekuwa jinamizi la ndoto ya kutisha.

Umenishauri katika kitabu hicho nijikite katika mambo, ''ninayoyajua,''
siyo ya, ''kuambiwa.''

Hebu tuanze kwanza na hili la Wakristo kutendewa haki na mimi katika
historia ya Tanganyika.

Elimu yote ya juu iko mikononi mwa Wakristo.
Fika katika Idara ya Historia Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam uhakikishe.

Hawa hawahitaji mtu wa kuwatendea haki chembilecho wakitaka na
kama wanaona kuwa historia niliyoandika mimi haiwatendei haki, hawa
kwa elimu kubwa waliyonayo wana uwezo mkubwa sana wa kurekebisha.

Kwa nini hadi leo hawajafanya hivyo ni kwa kuwa hakuna historia nyingine
ya TANU nje ya historia ya kitabu cha Abdul Sykes.

Tuje katika haki ya Mwalimu Nyerere ambae wewe unaona nimemuonea.

Najua na wengi wameumizwa na mimi kumrejesha Abdul Sykes na baba
yake Kleist Sykes katika historia ya TANU na uhuru wa Tanganyika.

Naamini hili hulijui lakini mimi ndiye nilihariri kitabu cha Jim Bailey, Nyerere
of Tanzania,'' kilichochapwa kwa ushirikiano wa Drum Magazine na Mkuki na
Nyota.

Si hilo tu hivi sasa kuna jopo linaloongozwa na Prof. Issa Shivji wanaandika
maisha ya Mwalimu Nyerere.

Wamenihoji na imewapa picha, nyaraka na maelezo mengi kuhusu maisha ya
Baba wa Taifa kati ya 1952 - 1961 wakati wa kupigania uhuru wa Tanganyika.

OrVGZP91fQSEWtl614KmGshuF3wL2wU--nZJHyL7eGRxvtUXcDK2A7ymhePCv1jJ0LYgrprqSD0QPMLNwu-_Zl7aHta5hWpNaS2T3OEe1CRx-C2qftnMUHtTXZMzy_RulcKOko_lARy6xhOJFYND89G1RnPuwezJg_jBB0xMGTtWsa3lcn5VInhjtGgoBtKbCRQotv0L2G1IX1uewdrSfkqIvWTmqV7Fp5TFTK7ZZqhRWgEhmLZoXTvKp9DaaZ2oRcNlMiY6cdy235STJchxAUdWsUsPC7QZXGCoaE7guM-SpmZZEFjfj0YCFeCF38ovXaEnytgJNWb40pkbXYL77AFb6YM5Uahe0hLSkyCsrYLf8N8kxY1UwhVs1LZ0taLKjTqL4V5o_aU14zso45GLmv5XZ_0d6uBFnS7GjVaOxRuasO29yW-yYp9eFKrCq5Svo6fC_5FV-bSAgf2UPI1MnY3cnR4MYpgCD7Uu-MtIIq-K9bXO9skJU0PBvxl0SVBbe8INLf_PCFs48Ia5BnNYfDdOnebI3std9VkeGKF5zekIBxF3qvJgL4fJbJRmYtabj5dlOSJU61KzvPH2o7cwopu2ZNortBwn_bqkCrtzVlH6or2XQArR=w800-h534-no

Niliyekaa kitako ni mimi na hao wengine ni Prof. Issa Shivji na Prof. Saida Yahya jopo linaloandika
maisha ya Baba wa Taifa

Kwa kuhitimisha ningependa kukueleza kuwa mimi nimesoma nyaraka za Sykes
karatasi kwa karatasi.

Lakini kubwa ni kuwa juu ya kusoma nyaraka hizi zinazoeleza mwamko wa siasa
wa watu wa Dar es Salaam kuanzia miaka ya 1920 hadi kufikia uhuru 1961 babu
yangu Salum Abdallah kashiriki katika harakati zote hizo Dar es Salaam katika
miaka ya 1920 na Tabora kuanzia 1947.

Hakuna vyanzo vinavyoweza kushindana na vyanzo hivi.
Hawa ndiyo, ''niliowasikiliza,'' na ndiyo, ''walioniambia,'' yote ninayoandika hadi hivi
sasa.

Msome babu yangu hapa chini ujiridhishe:
Mohamed Said: KUTOKA JF: BABU YANGU SALUM ABDALLAH

Wasome na watu wa Kavazi la Mwalimu Nyerere pia:
Mohamed Said: NYARAKA ZA SYKES KATIKA KAVAZI LA MWALIMU NYERERE
 
Wewe mwenyewe una uhakika 'you will touch paradise door?'
Mzee wangu mimi naomba tu unifahamishe, hivi wakati wa kupigania Uhuru kuliwa na waislamu na Watanganyika? Mimi huwa sikuelewi naomba unifafanulie hapa ili nasi ambao tulizaliwa baada ya uhuru tujuwe kumbe zamani kulikuwa na waislamu na kylikuwa na Watanganyika waliopigania uhuru.
 
Matola,
Yalipitika mambo baada ya uhuru kupatikana yaliyosababisha
mimi kuandika kitabu cha Abdul Sykes.

Ikiwa unataka kujua kuhusu Waislam na Watanganyika itabidi
usome kitabu hicho.

Nimeanza na yaliyokuwapo wakati wa ukoloni na vipi siasa za
kikoloni ziliathiri Waislam kama jamii kusababisha wao kuwa
mbele katika kupinga dhulma za kikoloni.

Katika haya utasoma mengi katika kuasisi African Association
1929 na Al Jamiatul Islamiyya fi Tanganyika 1933 na ikawaje
vyama hivi vikaweza kuunda TANU 1954.

Utasoma pia kwa nini mara baada ya uhuru Waislam waliitisha
Muslim Congress 1962 na 1963 agenda ikiwa kufanya juhudi
kujenga shule na Chuo Kikuu.

Utasoma pia juhudi za kuifungua Tanganyika ipokee misaada
kutoka nchi za Kiislam kusaidia Waislam waliokandamizwa na
ukoloni.

Kuanzia hapa Waislam wakaonekana ni tishio na matatizo na
serikali yakaanza.

Hii ikawa historia inayoogopewa na juhudi zikafanyika kuifuta.

Ikawa historia hii ya TANU inapoandikwa au kutajwa inapobidi
husikii jina la Abdul Sykes linatajwa wala la Sheikh Hassan
bin Ameir
na wale walioanzisha hicho chama na wakaupigania
uhuru wa Tanganyika kwa nafsi na mali zao...

Babu yangu Salum Abdallah alikuwa mmoja wa mashujaa hawa.

Mwisho wa kitabu hiki sehemu ya tatu nimeiita: ''Njama Dhidi ya
Uislam,''...kuna mengi.

Ukisoma kitabu utapata majibu ya swali lako.
 
Mohamed: nashukuru kwa maelezo ya ziada, hasa labda kwa vijana na wale wasiojua uandishi kwako. Kwa hisanu yako naomba niseme mawili matatu, na kama nitakosea au kukukwaza tayari natanguliza samahani.

Mosi, naam Kitabu Mama ni cha Abdulwahid, kile cha Kiswahili. Translation ya Kiingereza sitayaka kukipendekeza kwa mtu yeyote. It is totally at odds with the Original, laced with afterthoughts, fresh innuendo as if the author is taking benefit of hindsight. Worst of all the English is broken, if I may say so without offence.

One down, twenty to go. Nazidi kupanguapangua.

Vitabu vilivyobaki, ukitoa nitakavyovitaja hapa chini, ni subset ya Kitabu Mama, watu husema palgarised. I am sure ningeviandika mimi ungenishitaki (rightly) kwa kuvunja copyright ya kitabu cha Sykes. Hapa ninamaamisha vitabu kama vya uamuzi wa busara; BAKWATA; wazee wetu; mashujaa wetu; ummah ni kisa cha EAMWS na India na Pakistan. Vitabu hivi vyote ni chapters tu kwenye Kitabu Mama umevirudiarudia bila kibali cha mwandishi na ndicho nilichosema "wacha maneno ya kuambiwa" (kuambiwa na Mohamed Said), andika mapya (yaani subsequent to Sykes).

Professor Malima na Sheikh Kassim ni incarnation ya Sheikh Takadir Mtakadini na AMNUT, hawana jipya. Waislamu wa Tanganyika waliwakataa kama AMNUT ilivyokataliwa Zanzibar na Sheikh Muhsin - rejea kitabu cha Abdulwaheed.

Thirteen down, 7 to go.

Naona kuna mahali Mangi Mareale ameingia (afterthought?), lakini kwenye Kitabu Mama kuna Wachagga wawili tu, wote wenye majibavya Kiislamu, utadhani umati wote wa maprofesa, na juhudi za KNCU, na KKKT, si lolote si chochote?

Kosa kubwa la Kitabu Mama (na derivatives zake ulizoandika ukidharau kabisa miiko ya copyright) ni kwamba ulikuwa tayari umeamua utaandika nini, kwa hiyo hukutaka mashujaa wapya au ukweli mpya. Hizo ni shortcomings chache tu ("chuya") lakini Kitabu Mama kwa ujumla wake kwa kweli kabisa hakina ushindani (ni "wali").

Hicho ndicho nolichosema "wacha maneno ya kuambiwa" (kuambiwa na Mohamed Said), andika mapya (yaani subsequent to Sykes).

Vatabu vilivyobaki sijaviona, nitashukuru iwapo ukinielekeza nikavipate wapi. I reserve my right to analyse them with a neutral eye, notwithstanding thevpossibility that he final conclusion may fail to meet with your liking.

Kuhusu "kuomba kazi" naona umenisoma vibaya, si kwamba wewe ni ombaomba la hasha. Maoni yangu ni kwamba ujuzi ulionao (wa Sykes au wa maritime systems) naona unahitajika; haiwezekani vipotee hivi hivi kichwani kwako. Kitoe, warithishe watoto. Kuna mjumbe mmoja muhaheedina kama wewe in the opposite direction huwa anapenda kunukuu Biblia, lambilecho Waraka wa Mtume Paulo kwa Timoteo. Tunasoma kwamba Paulo alimtaka Askofu Timoteo asilalie neema yake, aisambaze kwa dunia, kwa watu wote. Paulo akamwambia: "ULIPATA BURE. TOA BURE".

Na wewe nakuomba utoe bure; ulipata bure.
WM
 
Amir Jamal hadi anaondoka Tanzania Mwalimu alikua anamlilia sana abaki , maana hao ndio watu waliombeba wakati wa TANU ya kupigania uhuru wa Tanganyika, aliondoka kwa kustaafu kazi ,
 
Mwalimu kumchagua Amir Jamal hii ilimfanya apate sifa sana nje ya nchi na kuonesha kutokubagua rangi au dini za watu, Comrade Amir alikua mbunge wa morogoro pia kwa wenye kukumbuka,
 
Mohamed: nashukuru kwa maelezo ya ziada, hasa labda kwa vijana na wale wasiojua uandishi kwako. Kwa hisanu yako naomba niseme mawili matatu, na kama nitakosea au kukukwaza tayari natanguliza samahani.

Mosi, naam Kitabu Mama ni cha Abdulwahid, kile cha Kiswahili. Translation ya Kiingereza sitayaka kukipendekeza kwa mtu yeyote. It is totally at odds with the Original, laced with afterthoughts, fresh innuendo as if the author is taking benefit of hindsight. Worst of all the English is broken, if I may say so without offence.

One down, twenty to go. Nazidi kupanguapangua.

Vitabu vilivyobaki, ukitoa nitakavyovitaja hapa chini, ni subset ya Kitabu Mama, watu husema palgarised. I am sure ningeviandika mimi ungenishitaki (rightly) kwa kuvunja copyright ya kitabu cha Sykes. Hapa ninamaamisha vitabu kama vya uamuzi wa busara; BAKWATA; wazee wetu; mashujaa wetu; ummah ni kisa cha EAMWS na India na Pakistan. Vitabu hivi vyote ni chapters tu kwenye Kitabu Mama umevirudiarudia bila kibali cha mwandishi na ndicho nilichosema "wacha maneno ya kuambiwa" (kuambiwa na Mohamed Said), andika mapya (yaani subsequent to Sykes).

Professor Malima na Sheikh Kassim ni incarnation ya Sheikh Takadir Mtakadini na AMNUT, hawana jipya. Waislamu wa Tanganyika waliwakataa kama AMNUT ilivyokataliwa Zanzibar na Sheikh Muhsin - rejea kitabu cha Abdulwaheed.

Thirteen down, 7 to go.

Naona kuna mahali Mangi Mareale ameingia (afterthought?), lakini kwenye Kitabu Mama kuna Wachagga wawili tu, wote wenye majibavya Kiislamu, utadhani umati wote wa maprofesa, na juhudi za KNCU, na KKKT, si lolote si chochote?

Kosa kubwa la Kitabu Mama (na derivatives zake ulizoandika ukidharau kabisa miiko ya copyright) ni kwamba ulikuwa tayari umeamua utaandika nini, kwa hiyo hukutaka mashujaa wapya au ukweli mpya. Hizo ni shortcomings chache tu ("chuya") lakini Kitabu Mama kwa ujumla wake kwa kweli kabisa hakina ushindani (ni "wali").

Hicho ndicho nolichosema "wacha maneno ya kuambiwa" (kuambiwa na Mohamed Said), andika mapya (yaani subsequent to Sykes).

Vatabu vilivyobaki sijaviona, nitashukuru iwapo ukinielekeza nikavipate wapi. I reserve my right to analyse them with a neutral eye, notwithstanding thevpossibility that he final conclusion may fail to meet with your liking.

Kuhusu "kuomba kazi" naona umenisoma vibaya, si kwamba wewe ni ombaomba la hasha. Maoni yangu ni kwamba ujuzi ulionao (wa Sykes au wa maritime systems) naona unahitajika; haiwezekani vipotee hivi hivi kichwani kwako. Kitoe, warithishe watoto. Kuna mjumbe mmoja muhaheedina kama wewe in the opposite direction huwa anapenda kunukuu Biblia, lambilecho Waraka wa Mtume Paulo kwa Timoteo. Tunasoma kwamba Paulo alimtaka Askofu Timoteo asilalie neema yake, aisambaze kwa dunia, kwa watu wote. Paulo akamwambia: "ULIPATA BURE. TOA BURE".

Na wewe nakuomba utoe bure; ulipata bure.
WM
William,
Wewe una pupa sana ya kutaka kujibizana na mie.

Unatakiwa kabla hujaandika kitu angalau basi fanya utafiti kidogo wa
somo lenyewe ulijue ndipo unyanyue kalamu.

Kitabu cha Abdul Sykes cha Kiingereza ndicho kitabu nilichoandika kwanza
na kikapigwa chapa London 1998 baada ya kila ''publisher,'' hapa nyumbani
kukiogopa.

Tafsiri ya Kiswahili ikachapwa Nairobi 2002.

Kuhusu kuwa kitabu kina lugha mbovu huo ni muhali jambo hilo haliwezekani.
Mwandishi ana first class merit pass katika English Oral Cambridge.

Jingine mimi (samahani napiga zumari langu mwenyewe) mtaalamu wa lugha
ya Kiingereza na nipo katika mradi wa Oxford University Press wa kusomesha
Kiingereza Shule za Msingi na Sekondari.

Nimechapa vitabu viwili na Oxford kimoja ni African Anthology: ''The Mermaid
of Msambweni,'' kikijumuisha waandishi kutoka nchi mbali mbali za Afrika na
kingine ''The Torch on Kilimanjaro.''

Hiyo moja.

Pili mswada ulipita miko miwili ya wataalam wa lugha ya Kiingereza kabla ya
kupelekwa Uingereza kwa uchapaji na huko pia ukapitia mkono wa mhariri
mama mmoja Mwingereza Prof. wa African History.

Kwa kawaida mhariri hatakiwi ajulikane na mwandishi.
Huyu mama alipomaliza kuhariri kitabu kile alimpa ''note,'' publisher aniletee.

Katika note ile alinambia kuwa amepata furaha sana kukihahriri kitabu changu
na mwisho akaniambia, ''Mohamed you are a story teller.''

Hapa panatosha.
Kifua chako kinafukuta kwa joto.

Iweje huyu Mswahili apewe hivi vyote.
Unaumia kama wengi walivyoumia.

Nakuongezea jambo.

Kitabu cha Abdul Sykes kikafanyiwa ''review,'' na mabingwa wa African History,
John Iliffe Cambridge University na Jonathon Glassman Northwestern University,
Chicago.

Hizi ''review,'' zipo katika Cambridge Journal of African History.
Bila shaka unajua hii nini maana yake.

Huyu Jonathon Glassman akinletea wanafunzi wake Tanga kunihoji wale ambao
walikuwa wanaandika tasnifu zao za Ph D katika historia ya Tanzania.

Bila shaka unajua hii nini maana yake.

Jonathon Glassman akanialika kuzungumza chuoni kwake Northwestern University
Chicago na nikazungumza katika ukumbi wa Eduardo Mondlane.

Bila shaka unajua hii nini maana yake.

Ikafuatia na kazi yangu kuchapwa katika Dictionary of African Dictionary (DAB) mradi
wa Harvard na Oxford University Press, New York 2011.

Bila shaka unajua hii nini maana yake.
Sasa ndipo ninapokuhurumia ndugu yangu.

Ikiwa wewe umejenga hoja yako kuwa Sykes Kiingereza ni tafsiri ya kitabu cha Sykes
Kiswahili kweli kuna haja ya mimi kukaa kukujibu hayo uliyojenga, Waingereza watasema
katika, ''wrong premise?''

Kukusaidia unijue vyema hebu ingia hapo chini:

Jyadm-kjC2S8-f9Ehr3XU5dB9WG2hzn6Ec9Zvhp9a8hCYBAUww8STHgupuuYD4gKk65P-yVTyI5H1kWyNNpAu-3SyXmJpHjJN0Eko2Su2J6ljPF88mP3H_-db817CBPQwyxnLMVAzzQMD3RWqK6ArLUxclGC_Mm5cJGz_30g67rce0LDbc4-5MRHCk5FekIMx_KflXW9FnaG2enILtCGwdvbfLpsNwrXlaUyNxvsGERtXZzAegvv4d9MNnWhVN97bnYRgWE9M_ANxrnox8aLDMI5HvMlk3rCvy76yGdeBGki9KMQAJ9T8y4TIljvfn3O5S26bcw6YZFdcmxQwezHg37TOdIJSiuI0J3Dt8Dnbnubv0nXwMnGNtAMiyGbFm3ocfYlo6YN4LnWNsiRhFaPn94UyEnP6HJVl5-Pr5Cz-wArnSvQCcrld8gY17akpJRqVUAlSlqKsIA175fErJ_BAMiQMoyQ06My8iI0Up9HBXeJZzojRFExPBlzCTAkW1cGIZMn59QHn5daLa0IM9XKdIyXMRP9FiYREzK-0K9xTUDs10-rjrkyu9N-W1SO4tg5bmB3lrSFDEQfeZqRVuF6S0HRKsrCsKmyAjz0ZcrwpA3Nvqu2hhLN_Q=w136-h96-no

Mohamed Said: ''The Torch on Kilimanjaro''
Mohamed Said: KLEIST SYKES (1894 - 1949) KATIKA DICTIONARY OF AFRICAN BIOGRAPHY (DAB) OXFORD UNIVERSITY PRESS, NEW YORK
 
Kiswahili kweli mimi haja ya mimi kukaa kukujibu hayo uliyojenga, Waingereza watasema

Mohamed: samahani sana tena sana, nisamehe ndugu yangu. I meant the original version in English is the correct version, a real jewel of research and scholarship. Cha Kiswahili ndiyo broken. Mengine yako pale pale.

unaweza kuendelea kutakwepa ukitaka mathalani EAMWS walivyotaka kuipasua Tanganyika kama walivyopasua India na Pakistan; au usawa wa Prof Malima na Sheikg
 
Hujawa na makamo ya kufanya manakasha na mie.
 
Mkuu Mohamed Said

Kwanza asante kwa kutujuza machache kuhusu JK Chande..... a round tabler and a rotarian

Nimeona kiwanda chake kilitaifisha lakini aliendelea kuwa raia mtiifu wa nchi hii.

Je unadhani hiyo ndiyo ilimfanya kuaminiwa sana na Mwl Nyerere?

Kwenye autobiography yake inaonyesha alikuwa ana vyeo lukuki....kuanzia bandarini, taasisi za fadha hadi shirika la ndege.

Hakika huyu mzee alikuwa na maadili ya juu kabisa. Naona watu wa "hivihivi" hawawezi kufikia utumishi wake kwa jamii ya watanzania miaka hiyo
Ule msemo wa kazi ndio msingi wa maendeleo na sio pesa unavyodhihirika, ukiwa mchapakazi na mzoefu hata wakunyang'anye hela zote utanyuka na kuanza upya
 
Hongera mzee kwa historia murua, yenye mvuto, lakini nilicho jifunza ni kwamba JF kuna watu wazito
 
Back
Top Bottom