Siku moja na Sir Andy Chande

Siku moja na Sir Andy Chande

Ahsante kwa simulizi, ungetupa na dondoo juu ya hiyo Club
 
Kwa kifupi those days bandari ilikuwa ni mali ya Mzee Janguo na kabla wapemba hawajatuharibia kujilipuwa tulikuwa tukienda UK kama unavyokwenda South Africa tu kwa sasa bila kuomba viza ubalozini, sasa kama manoti unayo ni kwa nini weekend usilikwee BA to Heathrow London? Mambo yamebadirika sana.

= yamebadilika
 
Kwa Mara kwanza Maalim nadiriki kusema umetuletea kisa kizuri kisicho na mawaa ya imani Wala malalamiko. Una kumbukumbu nyingi
Ni kweli kabisa...maana huyu Mzee MS asipotia mambo ya udini huwa hapati raha kabisa
 
Huyo Mzee wa club ndio nani shekhe? Dunia haiishi viroja...mchana watu washika dini...usiku wasema mengine kabisa
 
Mzee wetu Mohamed Said asante kwa kutujuza ya Chande, hakika alikuwa mzalendo. Pia sasa nafahamu wewe na Dr. Dau mmetoka mbali, ndiyo maana mnaliliana. Kweli wazee wa Kariakoo siwawezi, mpo tofauti lakin hadithi yenu moja.
Lol...
Sasa mbona unataja
Saigon bwana sio mchezo
 
dah hapo wametajwa watoto wa mjini, Mzee Janguo dah kitambo sana..
 
Mkuu Oscar Kambona..alivyorudi kutoka UK,alitwambia pale Jangwani kuhusu Amir Jamal,JK Nyerere na Mfaume Kawawa ..
kwamba wana fedha nyingi nje ya nchi!..Huyu muhindi ndiye alitumiwa sana..
Oh! Lkn kambona ulitegemea aseme nini juu ya mahasimu wake?ushahidi alitoa?
...lkn si ni Kambona huyohuyo, kwa kutokuwajua watanzania wa miaka hiyo, aliongea alipokuwa dodoma kuwa, "chini ya ardhi ya Dodoma kuna maji mengi, wakimchagua kuwa raisi atayachimba ili watu wayatumie"!
 
Leo ndio siri imefichuka, ni wazi Dr Dau amewabeba sana ndugu zake katika imaani hasa huyu Mzee Mohammed Said, karani ambaye alikuwa na access ya kuingia hadi board meeting.
Ni kweli kabisa,
 
Kwa kifupi those days bandari ilikuwa ni mali ya Mzee Janguo na kabla wapemba hawajatuharibia kujilipuwa tulikuwa tukienda UK kama unavyokwenda South Africa tu kwa sasa bila kuomba viza ubalozini, sasa kama manoti unayo ni kwa nini weekend usilikwee BA to Heathrow London? Mambo yamebadirika sana.
Pia Mzee Janguo alikuwa mkurugenzi ''relwe'' na pia katibu mkuu wizara fulani kama sijakosea,hao watoto wake walikuwa wakipaishwa sana kwenye Twanga na Mzee wa Farasi ,pamoja na marehemu Banza mtoto wa Sinza
 
..Amir Jamal aliteuliwa kuwa Balozi wa Tz Geneva (mashirika ya UN) kati ya 1988 mpaka 1993.

..akiwa huko aliugua na kuamua kwenda Canada kujiuguza chini ya uangalizi wa wanawe.

..mauti yalimkuta akiwa Canada na akazikwa hukohuko.

..nilitaka kuweka taarifa kwa Amir Jamal hakutoroka nchini.

..Serikali ilimfanyia kumbukumbu baada ya kifo chake na kama sijakosea Benjamin Mkapa wakati huo akiwa Waziri alimuwakilisha Waziri Mkuu Cleopa Msuya ktk tukio hilo.
JokaKuu....muandike sasa historia ya Tanzania. Kuna watu wenye nia ya kuipotosha
 
Mkuu Mohamed Said

Kwanza asante kwa kutujuza machache kuhusu JK Chande..... a round tabler and a rotarian

Nimeona kiwanda chake kilitaifisha lakini aliendelea kuwa raia mtiifu wa nchi hii.

Je unadhani hiyo ndiyo ilimfanya kuaminiwa sana na Mwl Nyerere?

Kwenye autobiography yake inaonyesha alikuwa ana vyeo lukuki....kuanzia bandarini, taasisi za fadha hadi shirika la ndege.

Hakika huyu mzee alikuwa na maadili ya juu kabisa. Naona watu wa "hivihivi" hawawezi kufikia utumishi wake kwa jamii ya watanzania miaka hiyo
Sio kiwanda chake bali chao cha familia, na kilipotaifishwa yeye aliteuliwa kuwa mkurugenzi wa hicho kiwanda cha "Serikali"
Cc: Sky Eclat
 
Si utani wale watoto walianza kula bata long time, ninakumbuka miaka ile ya awamu ya kwanza holiday walikuwa wanakwenda London.

Naomba unikumbushe yule aliyekuwa nadhani mkutugenzi wa Nadhani Tanapa? (Ndolanga?) Naye alikuwa anatingisha sana kipindi cha Janguo, yeye alikuwa Arusha lakini fujo zake mpaka dar. Hivi Asha Baraka (Twanga, Biko) alikuwa na udugu na Janguo?

Dar ilikuwa moto sana kipindi hicho, maana hapa kuna Ngida C (juma ngida), Abdul msomali, Abbass Mwinyi, Jimmy, john fedha, Macheni (Husein), Asha Baraka, ect
 
Back
Top Bottom