Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,869
- 29,031
Hahaha mkuu sasa hiyo ina urefu gani?Ndefu.. ila tam
Hahaha mkuu sasa hiyo ina urefu gani?Ndefu.. ila tam
Nguruvi3,Amir Jamal ni mmoja wa Wazalendo wa nchi yetu.
Ametumikia nafasi mbali mbali na aliaminiwa sana na Mwalimu
Baada ya kustaafu alihamia Canada ambako umri wake uliishia hapo
Mwalimu Nyerere na Benjamin Mkapa walikutana chuo cha IFM katika kuomboleza na ndiyeo siku Mwalimu alianza kumshawishi Ben kuhusu Urais
Kuhamia Canada si kwasababu ya kuiba kama watu wanavyozusha. Si kweli hata kidogo
Pumzika kwa Amani Amir Jamal, Mzalendo na Mwananchi
JokaKuu
Mkuu Oscar Kambona..alivyorudi kutoka UK,alitwambia pale Jangwani kuhusu Amir Jamal,JK Nyerere na Mfaume Kawawa ..Mkuu!
Hapana...Amir Jamal hakuwa na sifa hiyo!
Mimi nadhani stori tu. Anzia pale "kijana mdogo" Mohamed apewe kukaimu ukurugenzi. Siri ni kuwa Dau na Saidi wana "club" yao ya "islamic fundamentalism" kwa hiyo hapa tunanogeshwa na mapambano ya Club hii na Club ile. Chande nimefanya naye kazi Unga Limited wala hayuko hivi.Sijaelewa hii story maudhui yake nini ?
Muhindi mzalendo?,,haya mkuu....Amir Jamal ni mmoja wa Wazalendo wa nchi yetu.
Ametumikia nafasi mbali mbali na aliaminiwa sana na Mwalimu
Baada ya kustaafu alihamia Canada ambako umri wake uliishia hapo
Mwalimu Nyerere na Benjamin Mkapa walikutana chuo cha IFM katika kuomboleza na ndiyeo siku Mwalimu alianza kumshawishi Ben kuhusu Urais
Kuhamia Canada si kwasababu ya kuiba kama watu wanavyozusha. Si kweli hata kidogo
Pumzika kwa Amani Amir Jamal, Mzalendo na Mwananchi
JokaKuu
Matola,Leo ndio siri imefichuka, ni wazi Dr Dau amewabeba sana ndugu zake katika imaani hasa huyu Mzee Mohammed Said, karani ambaye alikuwa na access ya kuingia hadi board meeting.
William...Mimi nadhani stori tu. Anzia pale "kijana mdogo" Mohamed apewe kukaimu ukurugenzi. Siri ni kuwa Dau na Saidi wana "club" yao ya "islamic fundamentalism" kwa hiyo hapa tunanogeshwa na mapambano ya Club hii na Club ile. Chande nimefanya naye kazi Unga Limited wala hayuko hivi.
Siku pekee Mwenyekiti kukataza posho alikywa Professor Mmari UDSM akisema "tumeidhinisha leo, posho zianze kikao kijacho" ambayo ilieleweka. Halafu bahati mbaya (nzuri?) si Mmanyema, ni Mnyamwezi wa Nzega, la sivyo wangekuwa marafiki.
Baada ya Kambona kuwajaza watu kwamba atataja wapi Mwalimu alificha pesa; je alifanya hivyo?! Yaani unashindwa kufahamu kwamba zilikuwa ni siasa tu zile?! Hivi kabisa kwa maisha yale wanayoishi familia ya Mwalimu bado unaamini alichokuwa amesema Kambona?!Mkuu Oscar Kambona..alivyorudi kutoka UK,alitwambia pale Jangwani kuhusu Amir Jamal,JK Nyerere na Mfaume Kawawa ..
kwamba wana fedha nyingi nje ya nchi!..Huyu muhindi ndiye alitumiwa sana..
Ha ha ha hakuna kiongozi wa hivyo Afrika...endelea kuamini hivyohivyo.Baada ya Kambona kuwajaza watu kwamba atataja wapi Mwalimu alificha pesa; je alifanya hivyo?! Yaani unashindwa kufahamu kwamba zilikuwa ni siasa tu zile?! Hivi kabisa kwa maisha yale wanayoishi familia ya Mwalimu bado unaamini alichokuwa amesema Kambona?!
Congo,MS hongera sana. Una kumbukumbu kubwa kichwani. Nikisoma maandiko yako huwa nasikitika ninapofikia mwisho. Kalamu yako ina ncha kali sana. Hongera tena
Kiongozi wa vipi?! Nimeuliza hivi yale yaliyosemwa na Kambona yangekuwa ni kweli; familia ya Mwalimu ingekuwa inaishi vile?! Basi utendee haki mjadala kwa kutujuza jinsi familia ya Mwalimu inavyoishi kifahari!!Ha ha ha hakuna kiongozi wa hivyo Afrika...endelea kuamini hivyohivyo.
Akutukanaye hakuchagulii tusi. Pesa ya mwalimu Nyerere kama alikuwa nazo ughaibuni kwa nini isihudumie watoto na Mke wake? Huoni ulikuwa ni uzushi?Mkuu Oscar Kambona..alivyorudi kutoka UK,alitwambia pale Jangwani kuhusu Amir Jamal,JK Nyerere na Mfaume Kawawa ..
kwamba wana fedha nyingi nje ya nchi!..Huyu muhindi ndiye alitumiwa sana..
Muhamakilo,Ha ha ha hakuna kiongozi wa hivyo Afrika...endelea kuamini hivyohivyo.
Hivi wewe na wale si Mange kasema? Mna tofauti gani? Umesahau Kambona kwamba ni mwanasiasa?Mkuu Oscar Kambona..alivyorudi kutoka UK,alitwambia pale Jangwani kuhusu Amir Jamal,JK Nyerere na Mfaume Kawawa ..
kwamba wana fedha nyingi nje ya nchi!..Huyu muhindi ndiye alitumiwa sana..
Manshkhofu Sheikh wangu tusonge mbele.Matola,
Hapana sijabebwa wala sikuwa karani nilikuwa ni ''officer.''
Nimeeleza vizuri vipi ilikuwa si jambo la kawaida kwangu mimi ''junior officer,''
kuingia bodi.
Wako waliokuwa wanabebwa lakini si Mohamed Said.
Lakini hapana haja ya haya hii ni taazia tunaomboleza tusilete mambo mengine.
Narudia tena, hakuna , hakuna! aliyewahi kuthibitisha pesa za Kawawa, Nyerere au Amir Jamal nje ya nchi.Mkuu Oscar Kambona..alivyorudi kutoka UK,alitwambia pale Jangwani kuhusu Amir Jamal,JK Nyerere na Mfaume Kawawa ..
kwamba wana fedha nyingi nje ya nchi!..Huyu muhindi ndiye alitumiwa sana..
Nakumbuka sana zamani tuliaminishwa Saab Scania ni investment ya Nyerere pia.Narudia tena, hakuna , hakuna! aliyewahi kuthibitisha pesa za Kawawa, Nyerere au Amir Jamal nje ya nchi.
Kumsikia Kambona akisema hakufanyi kuwa ukweli
Nani alitegemea Kambona ataongea jambo zuri kuhusu Nyerere kwa ugomvi wao?
Hadi anafariki, hakuna aliyewahi kuthibitisha madai akiwemo Kambona mwenyewe
Vijana wa leo wanasikia tu na kuamini, walioishi zama hizo wanajua ukweli
Kuna Anour Kassum,alikuwa waziri na moja ya wizara alizodumu ni Madini na Nishati. Leo kama angekuwa sawa na 'fisi' tulio nao, tusingekuta hata mchanga wa kujaza katroli. Nani alikuwa na ufahamu wakati huo?
Tuwape heshima waliotumikia Taifa tukalikuta lilipo, tuache hadithi za kuzusha tu
JokaKuu